Special Thread: Usiku wa mahaba

Special Thread: Usiku wa mahaba

Kuomba msamaha ukiwa ushafaidi wala sio shida
We acha tuendelee tu kupetiana joto lako lipo juu sana
Halina uvumilivu tena,lazima lishushwe na wakulishusha ni mimi pekee
Come zisi weyi mai lavu

Tooobaaaaaa!! Hilo joto la mwili wangu we umeujuaje??
 
  • Thanks
Reactions: wax
Kuomba msamaha ukiwa ushafaidi wala sio shida
We acha tuendelee tu kupetiana joto lako lipo juu sana
Halina uvumilivu tena,lazima lishushwe na wakulishusha ni mimi pekee
Come zisi weyi mai lavu

Mkuu kibo unajua ustarabu ni kitu muhimu sana nshakuambia atoto ni mke wangu why hutaki kuelewa??
 
Last edited by a moderator:

Ananisumbua mkuu ngoja nimwite my wife aje amkomeshe akome kunisumbua
Cc charty
 
Last edited by a moderator:
Duh! Sina wangu hapa na chabo sijazoea ngoja nisepe kiivi!
 
bae wtf...mbona sielewi wee na atoto nani anamsumbua mwenzio...nakupenda hivoo ujue acha kunitesa mume wangu

Bora umekuja unisaidie kuniondolea hili balaa!! Hivi huyu mumeo huwa unamtosheleza kweli mama? Maana naona kila siku anahangaika humu, alitoa warning watu wawe makini wasiguse wake za watu, ila sasa yeye ndio kutwaaa anahangaika na wake za wenzie hapa.
 
ulishaona simba kashiba nyama..!its impossible mzooee tu maana ndo tabia za wanaume hata umpe nini haez ridhika jaman khaa..dont worry nitadeal nae my dia
 
Yaani hata uwape mbuga nzima watamaliza ila bado hawataridhika, ila sasa huyu kazidi anafanyia hadharani kabisaaa hata hajifichi, akiona maji ya shingo ndio anakuita.
 
my dia atoto as i told u simba pia wanatofautiana tabia kuna wale ving'ang'anizi kama wangu ni kuna wale waelewa ila subiri niachie dawa yake inachemkaa
 
Ichemshe iive haswaaaa, akiinywa hiyo lazima atakuwa anachagua nyama za kula sio km fisi. Good luck dear.
 
charty pokea Pm yangu bhana acha hizooo!!!
:A S 101::A S 101:.......
 
Last edited by a moderator:
ulishaona simba kashiba nyama..!its impossible mzooee tu maana ndo tabia za wanaume hata umpe nini haez ridhika jaman khaa..dont worry nitadeal nae my dia

hujampa vyote bado ukimpa vyote atatulia kama maji mtungini.hembu fanya mlambishe uone mpaka kuanzisha hee thread nikutapatapa kwakwe tuu .

ww mpe bana kwani kuna ubaya gani si nimumeo wa kufa na kuzikana?? kwenye shida na raha??
 
hahaha excel umenifanya nicheke hadi nimepaliwa...kibo10 kafunga pm afu kaficha funguo
sasa tunafanyaje bhanaa!
we mtoto wa mujini bwana hebu korokochoa fasta fasta kabla sijakwea meli kwenda kanda ya ziwa!!:wacko:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom