charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 6,000
hujampa vyote bado ukimpa vyote atatulia kama maji mtungini.hembu fanya mlambishe uone mpaka kuanzisha hee thread nikutapatapa kwakwe tuu .
ww mpe bana kwani kuna ubaya gani si nimumeo wa kufa na kuzikana?? kwenye shida na raha??
lege hadi nimeongea hivi jua nimempa mengii..nimempa kila kitu kwa kweli sema hataki ridhika woii ngoja aangaike dunia itamfunza badae atarudi mwenyewe