kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,177
Sifanyi huo ujinga kisa ushabiki ππWeka ubashiri wako ongezea na maneno "nipigwe ban kama isipokuwa hivyo"
Yaani mimi maswala ya mpira sifagilii kabisa na sinaga mzuka nayo yaaniNdio maana nakukubali π
Hata sielewekagiππhaya mambo yako kwenye DNA zetu wanaume.
We unafagilia mambo gani? π
Mimi siyo mlevi mbonaππHaha sawa leo unifundishe kulewa.
Mjini umekuja lini?Haha tujifunze leo kama vile nina hamu ya kulewa na wewe !
Kwahiyo unataka kutumia pesa za mbolea leoππNimekuja kununua mbolea hii weekend haha
Haya bwana jirani alafu sijawahi kwenda kabisa huko leo ntatoa ushambaππhahah hapana za mbolea zipo mfuko wa kushoto za kutumia zipo kwenye wallet mfuko wa kulia.
Haya baadae ngoja nikatafute viwalo sasaππAfadhali haha