ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,534
- 119,499
Dharau hii, lakini poa tu. Siku hizi hatulazimishi kupendwa, ukiona hivyo big g ishaisha utamHalafu anatumia Ubini wako kabisa



Dharau hii, lakini poa tu. Siku hizi hatulazimishi kupendwa, ukiona hivyo big g ishaisha utamHalafu anatumia Ubini wako kabisa



Babe mambo yetu usimtwishe Mungu, tunayamaliza wenyewe.Namwachia Mungu mkuu, kama huyu mama kaona nastahili hii adhabu namwachia Mungu![]()
Kama tuna kaugomvi ambako mimi sikajui naomba tukakamalize tuKweli kabisa bora umwachie Mungu maana hatua aliyofikia ni ngumu sana



Baby huyo sio mchepuko wangu, bali ni kipenzi changu. Sijui nimeelewekaAnabebishana na mchepuko mbele yangu, kwanza Espy Eroni huu utaratibu ameuanza lini![]()



Babe njoo nikwambie.Dharau hii, lakini poa tu. Siku hizi hatulazimishi kupendwa, ukiona hivyo big g ishaisha utam![]()
Kwa hiyo yule ni nani!Babe mambo yetu usimtwishe Mungu, tunayamaliza wenyewe.
Abee!Kwa hiyo yule ni nani!
Akina nani hao?Nasoma comment mimi...
Watu waliomisiana...
Nakuachaje na hauniachi!!
Niache we' Dada...
Waliomisiana..juu huko..Akina nani hao?
Sasa huku chini unafanya nini?Waliomisiana..juu huko..
Nachangia maadaSasa huku chini unafanya nini?
