everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,037
Nini my wifiiiii!!!![emoji134] Sitamaliza nikiwataja ninyi wote,Koh!koh!koh
Nini my wifiiiii!!!![emoji134] Sitamaliza nikiwataja ninyi wote,Koh!koh!koh
Mie nakusalimu tu maana ni mda mrefu sijakutia machoniNini my wifiiiii!!!![emoji134] Sitamaliza nikiwataja ninyi wote,
ila mkuu mimi natamani nimtakie sikukuu njema kule pm,kuna tatizo kwani?[emoji30]Mtakie tu.
Merry Christmas to you Behaviourist.
And Happy New Year 2017... Nina uhakika utauona mkuu
Asante nawe pia,be blessed.Bila upendeleo niwatakie woote heri ya maandalizi ya siku kuu ya Christmas na Mwaka mpya, Mungu akijaalia tuuanze tena mwaka salama.
Nawapenda wote!!!!
Thanks, just the same to youAsante nawe pia,be blessed.
Asante sana wifi yangu,unajua tena wifi akikohoa duh amani inakuwa hamna si inajua tena ndo mume!!!...... hahahha kweli kipande hii nimepotea sana,jukwaa siku hizi halina yale mambo yaliyojaa vina na mizani....ila ukija kule sports hunikosi wifi yangu kule nimejaa tele.Mie nakusalimu tu maana ni mda mrefu sijakutia machoni
Yeah ntumie pm yakoWe si ulibadili ya kwako?
Baada ya kuondoka utafiti yani nimepoteza kabisa appetite yakuja huko.Maana alivyoondoka yeye BAK nae akanichunia so nimekosa friend wakuwa naenda nae michezoni.....Asante sana wifi yangu,unajua tena wifi akikohoa duh amani inakuwa hamna si inajua tena ndo mume!!!...... hahahha kweli kipande hii nimepotea sana,jukwaa siku hizi halina yale mambo yaliyojaa vina na mizani....ila ukija kule sports hunikosi wifi yangu kule nimejaa tele.
Utaionaje kwanza wewe wakati pm maana yake ni private message mkuu??![emoji30]Haina shida ila ujue nitaiona kwanza mimi.
ICHANA amehamia wapi siku hizi?
He he za masiku miss u muchNjoo mumy nitakuwa rafiki yako...... na utapata wengine wengi na kaka zangu nitakupa [emoji2] [emoji2]
Ok asante basi nitaanza kujaNjoo mumy nitakuwa rafiki yako...... na utapata wengine wengi na kaka zangu nitakupa [emoji2] [emoji2]