Special Thread: Merry Christmas & Happy New Year 2017 Wishes!!

Special Thread: Merry Christmas & Happy New Year 2017 Wishes!!

Salamu za pekee ziende kwa kwenu wote na kila jema lije kwako unaesoma na familia yako.

Nakibali kipitacho cha esta kiwe juu yako DAIMA.
Barikiwa sana.
Sikukuu njema kwako.
 
seasons-greetings-and-happy-new-year.jpg


with lots of love........ to all of JF members.........
 
Salamu kwenu Marafiki.
Tunaelekea kuutimiza na kuumaliza mwaka 2016, Mungu ametuwezesha kuufikia tena msimu huu wa sikukuu...

Ni jambo zuri sana kutakiana tena heri msimu huu wa sikukuu na kupongezana kwa ujumbe mbalimbali na kufarijiana pia.
Karibuni sana.

May the melody and spirit of the holidays fill your home with love and peace .
I wish you all the best and happy New Year 2017...

View attachment 444554

View attachment 444555
Amen RA
 
Nimetumia karibia lisaa lizima kutafakari kwanini haujanitaja katika huu uzi yani roho imeuma sana.
By the way nawatakia wanajamvi wote heri ya xmass na mwaka mpya
my luv!! bado nilikuwa naendelea.
Merry Christmas and happy new year.
Salamu kwa Rogie
 
Back
Top Bottom