Special Thread: Merry Christmas & Happy New Year 2017 Wishes!!

Hmmmm! Sijawahi kukuchunia Honey Faith kama ulihitimisha kwamba nimekuchunia basi naomba uniwie radhi. Wewe ulikuwa unakuja sana kwenye uzi ule wa Arsenal siku hizi hufanyi hivyo tena au kama bado una participate kule basi ni very rare. Siwezi kukuchunia banaa sina sababu ya kufanya hivyo. Mie bado ni rafiki yako sana tu labda kama wewe unataka kuuvunja urafiki wetu.
Ok thanks my friend @BAK.Basi uwe unanipitia ukienda uwanjani
 
Hakuna neno nitajitahidi kuja kukupitia kila nafasi inaporuhusu, tumeshinda 3-1 leo na kwenda kileleni japo kwa masaa machache maana wale Chelsea wanacheza kesho. Tukiweza kushinda mechi zetu zote za hiki kipindi cha Xmas na mwaka mpya tutakuwa tumejiweka kwenye nafasi nzuri sana ya kula sahani moja na Chelsea na labda kutwaa ubingwa msimu huu wa 2016/2017. Mungu atuepushe na majeruhi ya key players.

shansarie my wife
Valentina and ur husband
angelita...
kabanga
Arushaone...
Jimena
Heaven on Earth...
Mentor and ur wife
Mr Rocky
MMAHE
Khantwe and ur old babu...
atoto and ur husbands
cute b
mamaafacebook II
Mzee Asprin na wake zako
In this loveliest and happiest of seasons , may you find many reasons to celebrate . Have a wonderful Christmas !
Asante sana Kiwa,mimi na Nyani Ngabu tunakutakia wewe na familia yako heri ya Xmas na mwaka mpya 2017 ndoto na matarajio yenu yakapate kutimia
 
aiseee i miss mambo haya enzi zile .... Excel umepotea sana pls nipe kawimbo ka little drummer boy
nimepotea tangia nimkute Mokoyo mazingira fulani...nikaanza kuisoma no
wishers nying kwako na mkeo shansarie Ntakuja sikukuu kuwatembelea ha ha ha ila nataka kadi
team bazazi mpo? kama imepotea now days mwekundu , baba paroko Asprin, msaidizi wa paroko umepotea sana Kaizer ivi Mentor siku hizi ukitoa story mbona hunitag tena au nimetumbuliwa ha ha
jaman miss chagga ,Khantwe , Dinazarde my wii na warumi binamu , Miss Neddy ,atoto sikukuu hii mjiandae kwa out
Valentina na mumeo yule mwakani mfunge ndoa .......
Tized nimemiss kukuona jukwaani.. Kibajajitz salamu nying zikufikie .ivi Rocky ,Rich Pol, Mndengereko mgiriki MMU imekuwa ngumu kwenu au??

all jf members n friends receive my wishes for xmass n new years wishes!!!!!!the coming year
that will reward all your future aspirations with overwhelming succes.
Yani uanze tu kununua kitambaa cha sare bibie. Mwakani libeneke litakuhusu
 
Hakuna neno nitajitahidi kuja kukupitia kila nafasi inaporuhusu, tumeshinda 3-1 leo na kwenda kileleni japo kwa masaa machache maana wale Chelsea wanacheza kesho. Tukiweza kushinda mechi zetu zote za hiki kipindi cha Xmas na mwaka mpya tutakuwa tumejiweka kwenye nafasi nzuri sana ya kula sahani moja na Chelsea na labda kutwaa ubingwa msimu huu wa 2016/2017. Mungu atuepushe na majeruhi ya key players.
Ok nitashukuru sana na ninaombea tuendelee kufanya vizuri ili tuchukue tuzo jamani maana mhhhhh sitaki kusema sana
 
Hakuna neno nitajitahidi kuja kukupitia kila nafasi inaporuhusu, tumeshinda 3-1 leo na kwenda kileleni japo kwa masaa machache maana wale Chelsea wanacheza kesho. Tukiweza kushinda mechi zetu zote za hiki kipindi cha Xmas na mwaka mpya tutakuwa tumejiweka kwenye nafasi nzuri sana ya kula sahani moja na Chelsea na labda kutwaa ubingwa msimu huu wa 2016/2017. Mungu atuepushe na majeruhi ya key players.
Amen Arsenalian mwenzangu.
 
Hata mimi japo sikutajwa ila nawatakia wana Jf woote kheri ya Christmas na mwaka mpya 2017
Bila kumsahau Kaka Mshana Jr na wengine wengi tu..!
Ikiwemo wamiliki na waendeshaji wa Jf Mwenyezi Mungu awabariki sana..!
Sio siri Jf imenisaidia sana tangu nijiunge mwaka 2011 nimejifunza mengi na kutoka maisha ya kukata tamaa mpaka maisha ya kujaribu na kuthubutu kufika hapa nayaona mafanikio yako karibu.
Binafsi nna ID yangu ya zamani ambayo ni ya point tupu lakn pia nna hii Id ambayo imekaa kihuni na yote hiyo ni kujaribu kubadilishana mawazo na changamoto mbalimbali pia wakati mwingine tunapunguza stress!
Unaweza kuona Id ya mtu humu ukamwona kama mhuni flani hata kwenye comment zake lakini mkikutana huwezi kuamini kama ni mstaarabu kiasi hicho.
Mwisho wa yote tuwasamehe waliotukwaza kwa mwaka huu,
Pia tuwaombee wale walioko vizuizini kwa makosa ya kibinadamu
Pia tuwaombee waliopotea mazingira ya kutatanisha wapatikane.
Naishia hapo kwa leo.
 
aiseee i miss mambo haya enzi zile .... Excel umepotea sana pls nipe kawimbo ka little drummer boy
nimepotea tangia nimkute Mokoyo mazingira fulani...nikaanza kuisoma no
wishers nying kwako na mkeo shansarie Ntakuja sikukuu kuwatembelea ha ha ha ila nataka kadi
team bazazi mpo? kama imepotea now days mwekundu , baba paroko Asprin, msaidizi wa paroko umepotea sana Kaizer ivi Mentor siku hizi ukitoa story mbona hunitag tena au nimetumbuliwa ha ha
jaman miss chagga ,Khantwe , Dinazarde my wii na warumi binamu , Miss Neddy ,atoto sikukuu hii mjiandae kwa out
Valentina na mumeo yule mwakani mfunge ndoa .......
Tized nimemiss kukuona jukwaani.. Kibajajitz salamu nying zikufikie .ivi Rocky ,Rich Pol, Mndengereko mgiriki MMU imekuwa ngumu kwenu au??

all jf members n friends receive my wishes for xmass n new years wishes!!!!!!the coming year
that will reward all your future aspirations with overwhelming succes.
Umefichwa na nani hadi ukapotea hivyo!!!!
 
Hata mimi japo sikutajwa ila nawatakia wana Jf woote kheri ya Christmas na mwaka mpya 2017
Bila kumsahau Kaka Mshana Jr na wengine wengi tu..!
Ikiwemo wamiliki na waendeshaji wa Jf Mwenyezi Mungu awabariki sana..!
Sio siri Jf imenisaidia sana tangu nijiunge mwaka 2011 nimejifunza mengi na kutoka maisha ya kukata tamaa mpaka maisha ya kujaribu na kuthubutu kufika hapa nayaona mafanikio yako karibu.
Binafsi nna ID yangu ya zamani ambayo ni ya point tupu lakn pia nna hii Id ambayo imekaa kihuni na yote hiyo ni kujaribu kubadilishana mawazo na changamoto mbalimbali pia wakati mwingine tunapunguza stress!
Unaweza kuona Id ya mtu humu ukamwona kama mhuni flani hata kwenye comment zake lakini mkikutana huwezi kuamini kama ni mstaarabu kiasi hicho.
Mwisho wa yote tuwasamehe waliotukwaza kwa mwaka huu,
Pia tuwaombee wale walioko vizuizini kwa makosa ya kibinadamu
Pia tuwaombee waliopotea mazingira ya kutatanisha wapatikane.
Naishia hapo kwa leo.
Sawa...
Merry Christmas to you
 
Back
Top Bottom