mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Yupoo mnapishana majukwaa tuICHANA amehamia wapi siku hizi?
Yupoo mnapishana majukwaa tuICHANA amehamia wapi siku hizi?
Aiseee.....kwani hawa mafundi welding hawawezi toa lock?Asante! nina shida moja kubwa inayonifanya nisiweze kuchepuka.
shansarie kafunga kifaa changu muhimu, na code anazo yeye tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] la wakubwa? Hahhahhahhahahaha sjui hilo coz Kwa id hiii ya pili Sina access Nako kule downAu amehamia jukwaa la kule chini?
Waione wasukuma wote...Mhhhhh kwa kweli hata mie najiuliza
Hata kama analinda ndoa, ndo mpaka hatumuoni popote!
Wakija uwape na salamu zangu
View attachment 444629
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nimecheka Kwa hiyo shetani akizeeka anakua malaikaHahahhaha......nimejiunga kanisa la ufufuo na Uzima
Mashavu yakichuma kunde, hamna jinsi mwenzangu
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu nikaja Moshi kama mara mbili[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nisamehe bure skua Na namba yakoWe mbaya!!
Asante mkuuAmen mpendwa Sakayo
Kheri ya Christmas Na Mwaka Mpya Na Kwako Pia
Koh!koh!kohBila upendeleo niwatakie heri ya Christmass na mwaka mpya wanajamii forum wote love you all,special thanks and wishes goes to sports Forum mnanifanya nafurahi muda wote.