Special Thread: Merry Christmas & Happy New Year 2017 Wishes!!

Special Thread: Merry Christmas & Happy New Year 2017 Wishes!!

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,489
Reaction score
18,372
Salamu kwenu Marafiki.
Tunaelekea kuutimiza na kuumaliza mwaka 2016, Mungu ametuwezesha kuufikia tena msimu huu wa sikukuu...

Ni jambo zuri sana kutakiana tena heri msimu huu wa sikukuu na kupongezana kwa ujumbe mbalimbali na kufarijiana pia.
Karibuni sana.

May the melody and spirit of the holidays fill your home with love and peace .
I wish you all the best and happy New Year 2017...

1481347507977.png

1481347538995.png
 
shansarie my wife
Valentina and ur husband
angelita...
kabanga
Arushaone...
Jimena
Heaven on Earth...
Mentor and ur wife
Mr Rocky
MMAHE
Khantwe and ur old babu...
atoto and ur husbands
cute b
mamaafacebook II
Mzee Asprin na wake zako
In this loveliest and happiest of seasons , may you find many reasons to celebrate . Have a wonderful Christmas !
Amen amen amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Asante Kwa wishes mkuu kiwatengu

Nami nawatakia kiwatengu 's family Na members wooooooote heri ya kuuona 2017 inshallah

Christmas is not as much about opening our presents as opening our hearts.
 
Bila upendeleo niwatakie woote heri ya maandalizi ya siku kuu ya Christmas na Mwaka mpya, Mungu akijaalia tuuanze tena mwaka salama.

Nawapenda wote!!!!
Asante sana Mkuu Sakayo.
Kila jambo jema na liwe juu yako msimu huu na uuanze mwaka 2017 kwa furaha.
 
Merry Christmas to all my lovely friends, minsamehe kwa wote niliowakwaza Kwa namna moja au nyingine nami kwa roho safi nimewasameh e wote.
Tutakusamehe vp wakat bado ni mwanachama wa Lumumba

Natambua unaomba msamaha sababu uyafanyayo huyataki ila ni kwa hisani ya buku 7 ya lumumba
 
Merry Christmas to all my lovely friends, minsamehe kwa wote niliowakwaza Kwa namna moja au nyingine nami kwa roho safi nimewasameh e wote.
Merry Christmas kaka! Long time hatujaonana hapa.
 
Tutakusamehe vp wakat bado ni mwanachama wa Lumumba

Natambua unaomba msamaha sababu uyafanyayo huyataki ila ni kwa hisani ya buku 7 ya lumumba
Sikukuu njema mkuu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom