Nakuangalia tuWe mdada wewe!!
Kwa nini?siku izi unaigizia Kaole?
Hahaa nimesema sijawahi kuwa na mtu kama huyo uliyemtaja mwanzo. Lakini hata huyo uliyemtaja simjui...ndo nani vile?We huoni maigizo unayoyafanya, ulisema uko single muda wote, kumtaja Ntuzu unaanza kurembua hapa.
Shemeji baraka tele ziendelee kumiminika weye na familia yako tunapoelekea mwishoni mwa mwaka huu.Nimefurahi kukuona tena.
Shemeji baraka tele ziendelee kumiminika weye na familia yako tunapoelekea mwishoni mwa mwaka huu.
Muumba azidi kutupatia afya njema na mafanikio pia ameen.Amen shemeji yangu, zimiminike na kwako pia.
Merry ChristmasHatimae umerudi, happy new year to you.