Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Haha haya zitarudi katika Jina la YesuYaani Mungu anisaidie tu, hapana bwana, zimebaki 90%. Hizo 10% ndio inabidi namna ihusike.
Haha haya zitarudi katika Jina la YesuYaani Mungu anisaidie tu, hapana bwana, zimebaki 90%. Hizo 10% ndio inabidi namna ihusike.
Muulize Honey FaithHivi mkeo humu ninani vile babu?
Hivi umeshajifungua??[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani nimecheka! Akuu unitue.
Mimi zipo 90% nahangaika na hizo 10%.
mkuuu mie pia nakukumbukaNakukumbuka ujue...
thanks my dia....happy new year tooHatimae umerudi, happy new year to you.
Asante sana, ngoja nichangamke haraka kabla hujabadili niaNataka.
Amen. Amen dota, na kweli Mungu naatende.Haha haya zitarudi katika Jina la Yesu
Mbona hata sikujifunga?Hivi umeshajifungua??
Nimefurahi kukuona tena.thanks my dia....happy new year too
Tena ufanye haraka sana.Asante sana, ngoja nichangamke haraka kabla hujabadili nia
Ila inaonekana kama una undugu na miss chagga vile? naogopa usije ukanifilisi bure!Tena ufanye haraka sana.
Kumbe bado unawaza, basi kwaheri.Ila inaonekana kama una undugu na miss chagga vile? naogopa usije ukanifilisi bure!
Italiwa na nyenyereMbona hata sikujifunga?
Nini?Italiwa na nyenyere
Nachojua una wanawake wengiMuulize Honey Faith
Sawa. Ila mke wangu ni nani??Nachojua una wanawake wengi
Baadae sitaki kuliliwaIla inaonekana kama una undugu na miss chagga vile? naogopa usije ukanifilisi bure!
Haujawahi nitambulishaSawa. Ila mke wangu ni nani??
Eti umesema?Baadae sitaki kuliliwa
Umeamua kuniumbuaHaujawahi nitambulisha