Special Thread: Merry Christmas & Happy New Year 2017 Wishes!!

Special Thread: Merry Christmas & Happy New Year 2017 Wishes!!

Si ndio na mimi nastaajabu mzee mwenzangu sijui huyu binti kapata kijana mdogo mdogo anayempa kiburi.
Vijana wanawapa jeuri sana hawa mabinti...
Ila uwezo wa kuwaoa hawana
 
Msaada wakuu

Naomba mwenye nyimbo pendwa kwajili ya misimu huu wa xmass na mwakampya aweke hapa au anipe link na majina ya wasanii nizidownload
 
Asante,Tumuombe Mungu azidi kututetea zaidi tuumalize vyema mwaka.Sala yangu ni hii:
Mungu atutimizie haja za mioyo yetu,wenye kutaka watoto Mungu awasaidie mwaka ujao mwezi kama huu wanyonyeshe.Wenye kutafuta waume/wake mwakani Mungu awape wenza wema.Wenye kutaka kujenga basi mwakani waanze huo ujenzi.Mungu azibariki kazi za mikono yetu.Upendo utawale tusameheane kabla mwaka huu haujaisha.
 
Back
Top Bottom