Special Thread: Merry Christmas & Happy New Year 2017 Wishes!!

Special Thread: Merry Christmas & Happy New Year 2017 Wishes!!

Salamu kwenu Marafiki.
Tunaelekea kuutimiza na kuumaliza mwaka 2016, Mungu ametuwezesha kuufikia tena msimu huu wa sikukuu...

Ni jambo zuri sana kutakiana tena heri msimu huu wa sikukuu na kupongezana kwa ujumbe mbalimbali na kufarijiana pia.
Karibuni sana.

May the melody and spirit of the holidays fill your home with love and peace .
I wish you all the best and happy New Year 2017...

View attachment 444554

View attachment 444555
NA WEWE PIA BESTITO NIMEKUMISS KWELI
 
Merry Christmas to all my lovely friends, minsamehe kwa wote niliowakwaza Kwa namna moja au nyingine nami kwa roho safi nimewasameh e wote.
WATU WANAOTOA SALAMU KINAFIKI UTAWAJUA TU HAYA CHRISTMASS NJEMA NAWE PIA TUMEKUSAMEHE
 
Naungana na uzi huu kuwatakia Heri na krismass na mwaka mpya 2017.
Nimekuwa nanyi kila siku humu ndani nikiwa msomaji wa kawaida. Mmenipa furaha/faraja/elimu na utaalam wa mambk mbalimbali mazuri. Mungu awabariki sana.
 
Thank you sky eclat
I'm privileged to get warm [emoji319] wishes from you
Thank you
 


Miaka ya nyuma ukisikia Jim Reeves anapigwa redioni unajua tayari Xmass, yaani ndio alikuwa alama hasa ya Xmass, siku hizi anaanza kupotea kidogo kwa sababu ya wingi wa waimbaji wa nyimbo za xmass

Jamaa alikuwa na sauti sana
 
Miaka ya nyuma ukisikia Jim Reeves anapigwa redioni unajua tayari Xmass, yaani ndio alikuwa alama hasa ya Xmass, siku hizi anaanza kupotea kidogo kwa sababu ya wingi wa waimbaji wa nyimbo za xmass

Jamaa alikuwa na sauti sana
I always refer to this as the masterpiece of Christmas songs.
 
Asante, japo umesahau kumtakia heri hiyo mpenz wangu Smart911.

Basi Kasie mie na Smart911 tunawatakia wana MMU wote heri ya sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya 2017.


Smart911 na Kasinde inawatakia wana MMU wote na Jamiiforums kheri ya Christmass na mwaka mpya na mkesha mwema jamani...
 
Back
Top Bottom