Mie sikwambii weweEti umesema?
Lini umenitambulisha mkeo wewe?Si unao kibao jamani sasa mie nitajuaje yupi ndio mkeo?Umeamua kuniumbua
Dah basi bhana. Umeamua kuniumbua...Lini umenitambulisha mkeo wewe?Si unao kibao jamani sasa mie nitajuaje yupi ndio mkeo?
Basi ninong'onezeDah basi bhana. Umeamua kuniumbua...
We mkaka weweMerry Christmas & Happy New year jf family.
Niliyemkwaza kwa comments zangu anisamehe sana.
Ha haa tena mchana kweupeUmeamua kuniumbua
We mdada wewe!!We mkaka wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] old babu wa wapi tena mi simjuii niko singo kabisa na sijawahi kuwa na mtu kama huyoshansarie my wife
Valentina and ur husband
angelita...
kabanga
Arushaone...
Jimena
Heaven on Earth...
Mentor and ur wife
Mr Rocky
MMAHE
Khantwe and ur old babu...
atoto and ur husbands
cute b
mamaafacebook II
Mzee Asprin na wake zako
In this loveliest and happiest of seasons , may you find many reasons to celebrate . Have a wonderful Christmas !
Mie msema kweli jamani si nimemuumbua jamaniHa haa tena mchana kweupe
Nimekumiss wewe mkakaWe mdada wewe!!
Karibu sana mkuu.Mkuu kiwatengu... Nashukuru sana kwa salamu zako za heri.
Mimi na familia yangu pia tunakutakia wewe na familia yako na wapendwa wako wote kwa ujumla heri ya Noeli na baraka tele kwa mwaka mpya 2017.
Niko bize namwaga oil kwenye mStout wangu tayari kuanza safari ya kuelekea migombani kuhiji.
Hahahahaaa........asante my Honey FaithBaadae sitaki kuliliwa
Hunishindi kwa kukumiss wewe mdada!!Nimekumiss wewe mkaka