stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,321
- 3,361
Sasa kama aliamua kutumia nguvu na kuwauwa waliokuwamo na wasiokuwamo, kwanini siku ile pale bungeni alisikitika na kusema hakuyategemea?
Sasa unawalinganisha Putin/Netanyahu na Samia?Watu wanaogopa ICC wewe?
ICC si atangulie Putin, Netanyahu etc
Serikali gani hiyo inayozungumziwa hapa? Ni care taker government au ni ipi? Hakukuwa na au serikali yenye mamlaka ndio maana tukaenda kwenye uchaguzi... hiyo serikali inayo zungumziwa hapa ni ipi ?View attachment 3510480
"Haya [yaliyotokea Oktoba 29] hayakuwa maandamano, zilikuwa ni vurugu zilizoandaliwa kwa madhumuni maalumu." - Rais Samia Suluhu akizungumza na Wazee wa Dar es Salaam
Unataka kulinganisha netanyahu wa Israel ambayo mfadhiri wake ni marekani na Samia raid wa tanzania, nchi masikini. Unajisikiliza.ICC wameshindwa kuwadaka wakina Netanyahu na wengine.
ICC ni bunch of Scumbabags hawana makali yeyote.
Wewe ni kobazi nambari wani na mrengo wako unaeleweka . Kujibishana na mtu kama wewe ni kupoteza muda maana kila kitu huwa unakitazama katika lenzi ya ukobazi. Kwa hiyo kafie mbele huko. Au nenda ukamuulize mwenzio Sheikh Majini huko aliko anafaudu mabikra 72 kando ya mito isiyokauka ya pombe tamu!Hakuna kauli tata hata Moja. Kwanini mnapenda kupindisha ukweli ? Mnafaidikia na nini ?
Mfano wa harakaharaka, nukta namba 5. Ilikuwaje Mkaacha kuwazuia vijana wasifanye vurugu na kuharibu mali za watu kama kweli mnapenda haki au mlikusudia haki ?
Yule mzee hatukumtendea haki aisee japo naye alikuwa na kasheshe zake. Be careful of what you wish for....wazungu waliwahi kusema!Tulimie meno tu Mimi nafurahi sana , maana tulimsema sana Mzee Magu na kumtukana kama katili mpaka kuvuka mipaka katika kumsema vibaya , Mungu sasa katuletea yule ambaye tunayemtaka na anatunyoosha kisasawa .
Kuna kanisa linahitaji mtu wa kujifanya kilema baada ya maombi unatupa magongo malipo ni elfu 25.Kasema muda wowote mnakaribishwa uwanja ni mweupe hata mkishindwa kufanya hizo vurugu zenu tarehe 9 kasema mje wakati wowote mtapokelewa vizuri tu na mtaonyeshwa pakulala.
Akiwa jela with life sentenceMhhh! Hili nalo litapita
Kina Durtete wanamsubiri wakanyee debe pamoja, hi hachomoi guaranteedBado sijaiona substance ya kupelekea ICC kukubaliana kufungua hiyo ‘kesi’
Huyu kenge hajui hata maana ya dola. Kuna tofauti kubwa kati ya dola na Serikali.
1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje"
2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe"
3. "Kuna watu tunawaambia waje mezani kwenye Maridhiano Ila wao wanajifanya kutaka kutupangia kwamba Hadi tufanye kitu Fulani ndio waje, Niwaambie tu Serikali yangu haitapangiwa Wala kuamrishwa na Watu , Serikali ya wanafunzi na waalimu ndio itakayopangiwa na siyo Serikali yangu"
4. "Wapinzani walihamasisha maandamano Kwa sababu waliishiwa Pawa"
5. "Mnalalamika Vijana wenu wameuliwa, kwanini hamkuwazuia wasiende?"
6. "Vurugu za Oktoba 29 zililenga kuiangusha Dola, walishindwa"
7. "Nasikia Kuna lingine wamepanga kukifanya December 9 , Niwaambie tu na Hilo halitafanikiwa hata kidogo"
8. "Mimi ndio Rais wa Tanzania na Serikali ninayoiongoza inafanya Kazi, uwe unaitambua au huitambui Ila Ndiyo Serikali na Mimi ndiyo Rais.
Asante kwa shule nzuri mkuu. Labda washauri wake watamwelewesha kama anaelewesheka!Huyu kenge hajui hata maana ya dola. Kuna tofauti kubwa kati ya dola na Serikali.
Dola ni chombo cha kisiasa cha kudumu (permanent political entity) chenye eneo maalum (territory), watu (population), na katiba (constitution).
Serikali ni utawala maalum uliopo madarakani kwa wakati fulani—mihimili ya dola (executive, legislative, and judiciary) inayoendesha nchi kwa sasa.
Utawala mpya ukichaguliwa, serikali hubadilika, lakini dola hubaki ile ile. Kwahiyo, kinachoweza kuangushwa ni serikali, sio dola. Hata mapinduzi ya kijeshi huwa hayaangushi dola—yanaangusha serikali iliyoko madarakani. Kuangusha dola ni kuvunja nchi. No one does that!
umri huo haendi period tena , hata Menopause ameshapita anaelekea late postmenopauseMadhara ya kufanya presa uko period ndo haya mda wote umefura jaziba bila sababu ya msingi badala upangilie hoja unatushikia kiuno sisi?
Masikini wanatuma Remittance ya Trillion 2 kasolo kwa mwaka... Hii ni maajabuRais Samia Suluhu amesema waratibu wa vurugu waishio nje ya nchi wengi wanasumbuliwa na ugumu wa maisha, hivyo wanatafuta namna ya kujiongezea kipato kupitia mitandao.
View attachment 3510496
Hana mme kivipiumri huo haendi period tena , hata Menopause ameshapita anaelekea late postmenopassue
Hapo upweke na mzigo wa uongozi, depression na vile hana mume wa kumliwaza inachangia mengi