PostGE2025 Special Thread: Kauli Tata za Rais Samia katika hotuba zake

PostGE2025 Special Thread: Kauli Tata za Rais Samia katika hotuba zake

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
View attachment 3510468

1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje"

2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe"

3. "Kuna watu tunawaambia waje mezani kwenye Maridhiano Ila wao wanajifanya kutaka kutupangia kwamba Hadi tufanye kitu Fulani ndio waje, Niwaambie tu Serikali yangu haitapangiwa Wala kuamrishwa na Watu , Serikali ya wanafunzi na waalimu ndio itakayopangiwa na siyo Serikali yangu"

4. "Wapinzani walihamasisha maandamano Kwa sababu waliishiwa Pawa"

5. "Mnalalamika Vijana wenu wameuliwa, kwanini hamkuwazuia wasiende?"

6. "Vurugu za Oktoba 29 zililenga kuiangusha Dola, walishindwa"

7. "Nasikia Kuna lingine wamepanga kukifanya December 9 , Niwaambie tu na Hilo halitafanikiwa hata kidogo"

8. "Mimi ndio Raisi wa Tanzania na Serikali ninayoiongoza inafanya Kazi, uwe unaitambua au huitambui Ila Ndiyo Serikali na Mimi ndiyo Rais.
Huyu mtu anayeitwa Samia Hassan ni tishio la Usalama wa Taifa.
 
Kuna Uzi Huku nilisema Samia ni mkatili kuliko anavyoonekana. Ukiangalia macho yake kwa umakini unagundua hilo mapema tu.
20251201_163855.jpg
 
Kuna Uzi Huku nilisema Samia ni mkatili kuliko anavyoonekana. Ukiangalia macho yake kwa umakini unagundua hilo mapema tu.
Kuna jamaa alisema mama SAMIA hafai kuwa MAMA WA KAMBO..

ANA UKATILI MKUBWA SANAAAAAA NDANI YAKE..

UKITAKA KU UNGANISHA DOTI TAFUTA VIDEO AKIELEZEA HISTORIA YAKE YA MAISHA , UONGOZI NA ELIMU
 
Kuna jamaa alisema mama SAMIA hafai kuwa MAMA WA KAMBO..

ANA UKATILI MKUBWA SANAAAAAA NDANI YAKE..

UKITAKA KU UNGANISHA DOTI TAFUTA VIDEO AKIELEZEA HISTORIA YAKE YA MAISHA , UONGOZI NA ELIMU
Ni Mimi nilisema humu humu kuhusu hilo.

Huyu hafai hata kuwa mama wa kufikia. Anaua watoto wako Huku wewe ukiwasimanga wanaona Nola kujua.

Macho yake yanadanganya sana.
 
View attachment 3510468

1. "Oktoba 29 tulitumia nguvu kubwa Kwa sababu ya Vurugu, mlitaka tutumie nguvu ndogo ili iwaje"

2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe"

3. "Kuna watu tunawaambia waje mezani kwenye Maridhiano Ila wao wanajifanya kutaka kutupangia kwamba Hadi tufanye kitu Fulani ndio waje, Niwaambie tu Serikali yangu haitapangiwa Wala kuamrishwa na Watu , Serikali ya wanafunzi na waalimu ndio itakayopangiwa na siyo Serikali yangu"

4. "Wapinzani walihamasisha maandamano Kwa sababu waliishiwa Pawa"

5. "Mnalalamika Vijana wenu wameuliwa, kwanini hamkuwazuia wasiende?"

6. "Vurugu za Oktoba 29 zililenga kuiangusha Dola, walishindwa"

7. "Nasikia Kuna lingine wamepanga kukifanya December 9 , Niwaambie tu na Hilo halitafanikiwa hata kidogo"

8. "Mimi ndio Raisi wa Tanzania na Serikali ninayoiongoza inafanya Kazi, uwe unaitambua au huitambui Ila Ndiyo Serikali na Mimi ndiyo Rais.

Hakuna kauli tata hata Moja. Kwanini mnapenda kupindisha ukweli ? Mnafaidikia na nini ?

Mfano wa harakaharaka, nukta namba 5. Ilikuwaje Mkaacha kuwazuia vijana wasifanye vurugu na kuharibu mali za watu kama kweli mnapenda haki au mlikusudia haki ?
 
Eti "hata huko kwao yanayafanyika tuliona ila hatukuongea"

Huyu anaweza kutaja ni nchi gani ilizima internet na kuua watu wake 20000+ ndani ya siku 3 na wengine wakiendelea kuteka na kupotezwa mwezi mmoja kabla?

Kwa dunia ya sasa likitokea janga na kukatokea kuyumba kwa mawasiliano ya miundombinu ya internet nchi hujitahidi kurudisha hata kwa kuomba msaada kwa kampuni tanzu kuweza kurejesha internet ila ajabu kibibi kikatoa order haramu kuweka nchi gizani kimawasiliano karne ya 21 kwa siku 5.

Tumeshuhudia katika vita zote Ukraine , Gaza Starlink walienda kutoa huduma ya internet na sio kupoteza watu wake bila taarifa kwa kuwaacha gizani kimawasiliano.

Ni nchi gani maiti zimeonekana morgue tofauti 5 katika hospitali kubwa halafu wakakanusha zile maiti kuwa ni AI?

Tiketi ya ICC ile pale.
 
2. "Waliohamasisha maandamano Oktoba 29 ni Kwa sababu ya shida za maisha, na walifanya hivyo ili Watanzania wanunue bando wawaangalie ili walipwe"
Kwani watanzania tulimkosea nini Mungu hadi tunapewa hii adhabu?, Hii kauli ni ishara ya uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Hivi hii kweli ni sababu ambayo Rais wa Nchi anauambia Ulimwengu Mzima, Seriously?

Yaani uhamasishe maandamano ili ulipwe "VIEWS"?, kwamba Wananchi wakinunua bando, lile bando linakuwa hela?

R. I. P Tanzania.
 
Kasema muda wowote mnakaribishwa uwanja ni mweupe hata mkishindwa kufanya hizo vurugu zenu tarehe 9 kasema mje wakati wowote mtapokelewa vizuri tu na mtaonyeshwa pakulala.
 
Soldiers never die at home. Soldiers die in battlefields.

Tunakuja,mjiandae vema.
Punguza maneno mmeshakaribishwa uwanjani toka muda wowote ukafanye ule unyumbu wenu wa kuiba mali za watu na kuharibu uone mziki wake safari hii siyo kama mlivyoachiwa hadi jioni safari hii unakula chuma mbele ya mali uliyoiba au kuiharibu.
 
Back
Top Bottom