Special Thread: Job Opportunities at ITM Tanzania Ltd

2.png
 
Good!.

You should sound to hire the fresh graduates. With no any experience.

I've gone through all your advertisements and no one requires an applicant with a less experience.

Sisi tuna kazi, msitushawishi. Wapeni kazi waliopo mtaani..
Well said ndugu!

10-15 years experience dah!!

These people are looking for people already in the game.

Sijui wanaoanza game experience watatoa wapi?
 
Hawa ni matapeli kuweni makini
Habari stephen4440

Sisi ni kampuni iliyosajiliwa na BRELA na utendaji kazi wetu ni kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.

Ofisi zetu zinapatikana Ghorofa ya 8 Jengo la Tanzanite Park, Victoria, Dar es Salaam.

Tafadhali fika katika ofisi yetu ikiwa unahitaji taarifa zaidi au tutumie barua pepe kupitia infotanzania@itmafrica.com

Ahsante na karibu

ITM Certificate of Incorporation.png
 
Acheni utapeli mnatangaza nafasi za kazi ambazo hazipo alafu mnaomba kutumiwa hela.Matapeli nyie rudisheni pesa yangu!
Mkuu Nzige Mweusi

Hatuna utaratibu wa kuomba fedha kwa watu wanaoomba ajira.

Tafadhali tunaomba utupatie taarifa za sehemu ulipotuma fedha ikiwemo;
  • Namba ya simu
  • Kiasi ulichoombwa kutuma
  • Tarehe uliyotuma (ikiwa unakumbuka)
  • Taarifa nyingine yoyote unayodhani inaweza kuwa na msaada kwetu

Huenda kuna watu wanatumia vibaya jina la kampuni yetu kufanya utapeli.

Utakuwa umefanya jambo jema kutupa taarifa hizo

Ahsante
 
Hii tuhuma ya utapel Ni nzito Sana mngeifafanulia na kuwaondoa wasiwasi wadau kuliko kumhitaji mdau kuonyesha vielelzo humu otherwise angalieni integrity ya Wadanyakazi wenu...
 
Hii tuhuma ya utapel Ni nzito Sana mngeifafanulia na kuwaondoa wasiwasi wadau kuliko kumhitaji mdau kuonyesha vielelzo humu otherwise angalieni integrity ya Wadanyakazi wenu...
Ahsante kwa mchango wako Mkuu Akili Unazo!

Tumehitaji vielelezo kwa sababu waliotoa tuhuma wameishia kusema ni utapeli pasipo kutoa maelezo.

Hivyo, tungependa kusikia kutoka kwao zaidi ili kupata kuelewa wanachokizungumzia.
...

Umegusia suala la integrity; tumeliangalia hili kwa wafanyakazi wetu, hakuna dalili zozote za kutilia shaka.

Suala la ajira ni delicate, walio wengi wanahitaji ajira, na matapeli wanachukulia kuwa ni fursa.

Hivyo, huenda kuna watu wanafanya matumizi mabaya ya jina la kampuni kufanya utapeli

Tunashukuru wadau wote mliochangia na tungependa kusisitiza mtupatie maelezo zaidi, tunaamini yatakuwa na msaada kwetu.

Ahsanteni

#WeAreITM
 
Back
Top Bottom