ndugu wana JF napenda kuwapongeza form 6 wote kwa kuonyesha ushirikiano mkubwa humu jamvini. . .pamoja na hayo ndugu wote wanajamvi kwa ushirikiano huohuo naomba tufanye kitu kimoja kiustaarabu zaidi na werevu mkubwa,kama una habari yoyote inayohusu TCU tafadhali itupie kwenye hii thread na kama kuna file lolote la kuattach ingekua vizuri liwekwe kama pdf ili isiwe complicated. . . . .karibuni.