Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Hao nao jana walivyohangaika vile.....mi siwaamini kivile.

Hawa wapo vizuri ila kwenye finishing sijui ni nini kama vile wamerogwa hapa Chile watolewe itakuwa poa maana kuna kaharufu kwa kubebwa kombe litaenda Argentina.
 
Wewe ni mshabiki wa kwanza nimjuaye mwenye kushabikia Brazil na Argentina kwa wakati mmoja...

Ule upinzani wao wa jadi ndo furaha yangu yaani nilitaman sana wakutane fainali ndo vile tena wishes zangu zimeyeyuka kama barafu.....
 
Ule upinzani wao wa jadi ndo furaha yangu yaani nilitaman sana wakutane fainali ndo vile tena wishes zangu zimeyeyuka kama barafu.....

Brazil atakutana na argentina ktk nusu fainal.. kupata miujiza mingine kama hii, tuma neno MIUJIZA kwenda namba 6789
 
Anadai yeye ni shabik wa mpira mzuri

Mimi siyo shabiki ni mpenzi WA mpira ndo maana tofauti huwa naziweka pembeni shangaaa na hii Man u na Barca..... Lol....asilimia 80 ya Man U hawaipend Barca mimi tu na Watu8 ndo tunaishangilia Barca.....
 
Last edited by a moderator:
My friends BAK Paulo Sergio De Souz Nyani Ngabu pole yetu sote......

Dah! Nilihisi tu kutatokea mikosi, kila mara nikikosa connection lazima tufungwe, game ya Colombia nayo mikosi ilianza hivi hivi. Hakuna noma lakini, michuano yenyewe haitupendi sana kihistoria. Tuangalie mbele tu. Força Brasil!
 
Last edited by a moderator:
Dah!! Afadhali umekuja nilikuwa nishakuandalia zigo la lawama,wewe nilikwambia uje kwangu ukakataa lazima connection ikatae.....lol

We acha tu, niliona bora nibaki kwa jirani ili ni-focus kwenye game, maana ningekuja kwako attention yote ingekuwa kwako. Jirani nae WiFi yake inaichukia Brasil.

Sasa tumeshatolewa, game zote zilizobaki nitakuja kuangalizia kwako, how about that?
 
Back
Top Bottom