everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Nipo ila connection ovyo balaa, wakilisha mama, sisi ni team.
Dah!! Afadhali umekuja nilikuwa nishakuandalia zigo la lawama,wewe nilikwambia uje kwangu ukakataa lazima connection ikatae.....lol
Nipo ila connection ovyo balaa, wakilisha mama, sisi ni team.
Usikimbie umeona kitu kimesoma hiyo ni dalili njema hakuna matuta hapa wala hafi Mtu.....
Bado historia inatubeba.. brazil hachomoki
Kama jana dua zako kwa Messi zilishindwa hata kwa Brazil zitashindwa.....
Brazil kama atashinda Leo nusu fainali itakuwa ni Argentina na Brazil, Chile na Peru.........dah !! Wishes zangu zitakuwa zimefeli kidogo.......
Kwani ulikua unatakaje mama?
Kipindi hiki cha pili Paraguay wameamka kweli kweli
ngapi ngapi jamani?
ngapi ngapi jamani?