everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Italy wana rekodi kila baada ya miaka 12 kucheza Fainali world cup eg 1970 wakafungwa 4-1 na Brazil kule Mexico City,Mexico,1982 wakamfunga Ujerumani 3-1 kule Spain ktk uwanja wa santiago bernebeu jijini Madrid,1994 wakafungwa kwa penati na Brazil kule USA,na mwaka 2006 wakashinda kwa penati vs France kule Ujerumani,je 2018 wataendeleza rekodi yao kutinga fainali huko Russia?
Mungu atupe uzima tuone je hili litatimia?