Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,091
- 136,613
Paraguay wanatishia amani kwelikweli
Kweli wanatishia amani.....
Mi Brasil siwaelewi kabisa toka wabamizwe 7-1.
Hawajielewi elewi kabisa.
Paraguay wanatishia amani kwelikweli
Kweli wanatishia amani.....
Mi Brasil siwaelewi kabisa toka wabamizwe 7-1.
Hawajielewi elewi kabisa.
Mkoloni aliwaachia nuksi wanatakiwa wakaoge baharini....... Ila kadri miaka inavyokwenda Brazil inazid kushuka.
Brazil wanashinda hii mechi
Mkoloni aliwaachia nuksi wanatakiwa wakaoge baharini....... Ila kadri miaka inavyokwenda Brazil inazid kushuka.
Nadhani ni kipindi cha mpito ambacho karibu kila timu hupitia.
Kabla ya mwaka 1994 Brasil haikushinda kombe la dunia kwa miaka 24. Na tokea mwaka 1990 Ujerumani nayo haikushinda kombe la dunia kwa miaka 24.
Hivyo ni kawaida kuwa na kipindi cha mpito.
Hawana vipaji tena...
Mpira wao sasa umekuwa wa kujifunza kama mataifa mengine tu...
Nadhan hata Tanzania tuko katika kipindi cha mpito