Special Thread, COPA America 2015

Special Thread, COPA America 2015

Cacerez...

Kapataaaa...hawa Waparaguay wanapiga mawe
 
Coutinho...

Anapata...

Paraguay wanatakiwa wapate penati ya mwisho wapite
 
Inauma aiseee!!! Sikia kesho lawama kwa Neymar zitakavyomwangukia......dah!!! Utamu utapungua.....Brazil huwa wanaleta amsha amsha Fulani......
 
Pole nilijua tu Brazil anaaga leo...

Hawakustahili kupita leo...

Na wangepita wangepigwa nyingi sana na Argentina

Asante.....Karata yangu ya pekee imebaki kwa Argentina hope hawataniangusha.......
 
Back
Top Bottom