Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Exactly 3 hrs and 30 minutes to game time.
Exactly 3 hrs and 30 minutes to game time.
Sijui nimekula maharage ya wapi vile usingiz kibao ,tupige story nisilale leta vikosi vya Leo, shamra shamra zilizopo hapo uwanjani.
Hahah.. kirikuu ni mchezaji mzuri bt mimi hanibariki
Hahah.. kirikuu ni mchezaji mzuri bt mimi hanibariki
Hahaha loweka miguu kwenye maji. Line-ups bado hazijatoka bana, mpaka atleast an hour to the game. Hapa jirani leo hanibanii, nimemtilia timu toka brunch.
Mwambie bana, hatuna tatizo nako kabisa.
Koh koh koh
Upo eeee!!! Haya leta utabir wako...
Sijui ni kwann hua niko against na ww bt nadhan hua inatokea by default.. brazil anakufa
Hivi kwa nini Scolari alimwacha Robinho mwaka jana kwenye kombe la dunia?
Umelala??