everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
wapiga penati wote waliokosa wa brazil na argentina wote walikuwa ni wachezaji walioingia uwanjani(substitutes).kuna mtu aligundua hili??
Aiseee!! Uko vizuri. .....