Mkuu Kwani ulijua watashinda?mbona ilikuwa wazi hawaendi popote poleSina ham na Afcon ngoja ni unfollow page za caf+motsepe+infantino+wachezaji wa morocco
Kwa upande wa Tanzania national team+club zinakandamizwaMkuu Kwani ulijua watashinda?mbona ilikuwa wazi hawaendi popote pole
Sisi kama liverkuku tuna furaha ila tuna kibarua kizito KIZITO AlhamisiUnawaona the Blues?
South Africa vs cameroon+TANZANIA asante cameroon wale hata 5Chuma kwa Cameroon
Man city hawakamini kama itaisha hiviUnawaona the Blues?
game ikiisha hata hvyo no problemSauz ndio angeweza kumshona Morocco kwenye robo