Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Subiri mfe 3-0 vizuri kabisa.

Samuya stars ni timu yenye gundu licha tu ya uwezo mdogo.

Angalia zile nafasi za wazi za score mlizokosa, ndio ujue hii timu ya mafisadi akina Makonda ina mkosi.
 
Maneno mengi ya nini?
 
Kadi zimekuwa nyingi sasa
 
Refa mchezo umekuwa mgumu kwake
 
Huyu Mwamuzi kwetu linakimbia kweli kweli kutoa Kadi
 
Subiri mfe 3-0 vizuri kabisa.

Samuya stars ni timu yenye gundu licha tu ya uwezo mdogo.

Angalia zile nafasi za wazi za score mlizokosa, ndio ujue hii timu ya mafisadi akina Makonda ina mkosi.
Refa Man of the Match
 
Mwizi kaibiwa
#oct29
1761567805958.jpg
 
Back
Top Bottom