Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,381
- 80,262
Kazingua kinoma aiseeMnooo yani alitufanyia figisu manyoko yule!
Kazingua kinoma aiseeMnooo yani alitufanyia figisu manyoko yule!
Benin nao wamesimikaHadi sasa Egypt bado haijatoboa
Mashindano ya mwaka huu timu zimejipanga sanaHadi sasa Egypt bado haijatoboa
Exactly 💯Unaona Benin wanakosa striking nzuri tu
Jana sijategemea vijana kutoka kusini mwa jangwa la Sahara Tanzania kupiga bolu tamu kama lileKabisa.
Mpira ni mbinu