Wenyewe wananyooshwa kisawasawa na Cameroon !Sauz ndio angeweza kumshona Morocco kwenye robo
salam zimfikie motsepe88'
RSA 1-2 CMR
Kumbe nao hawajambo! Nawaona ona
Refa wa jana kafanya uhuni sanaRefareee haendekezi undezi anataka wapige boli . Safii
Mnooo yani alitufanyia figisu manyoko yule!Refa wa jana kafanya uhuni sana