View attachment 3525093
Hapa ndio kuna kazi nzito leo.
Hii Taifa Stars ikiwezekana wafie tu Uwanjani kizalendo.
Kama wenzao wa Mali jana, walichoka sana lakini hawakukata tamaa.
Sawa Mmoroko
Mnoooooo!!Naona roho yako imefurahi sana
Amen All the bests Taifa Stars!!View attachment 3525205
Mungu ibariki Taifa Stars
Mungu Ibariki TanzaniaView attachment 3525093
Hapa ndio kuna kazi nzito leo.
Hii Taifa Stars ikiwezekana wafie tu Uwanjani kizalendo.
Kama wenzao wa Mali jana, walichoka sana lakini hawakukata tamaa.