Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Dakika ya 89
Misri 1
Zimbabwe 1
Game on..
 
Dakika ya 90+4
Misri 2
Zimbabwe 1
Game on..
 
Walimtoa Dube wa nini sasa?
Wakati hakuna Straiker?
 
FT
Misri 2
Zimbabwe 1
 
Nimemuona Mpumelelo bana

Nimefurahi sana kuona jamaa kafunga maana mchizi amekuwa na ups and down hapo katikati.

Big up kwake.
 
Mamelodi ndio style wanaocheza Bafana bafana...
Ni style hiyo hiyo lakini wakifika katika kuna wale mafundi akina Allende wako sharp mipira ikiingia zone ya mpinzan strikes kama akina Shalulile wako na speed na aggressiveness ya kutosha... Hawa South kazi kupiga vipasi vya mchongo km simba, effectiveness zero
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…