Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

South Africa kuna majina mapya, kuna baadhi nimewaona ni wako good, em mnioneshe team nzima, kumbe Bondeni kuna watu wako kwa ajiri ya matumizi ya binadamu na hamsemiii?
 
South Africa kuna majina mapya, kuna baadhi nimewaona ni wako good, em mnioneshe team nzima, kumbe Bondeni kuna watu wako kwa ajiri ya matumizi ya binadamu na hamsemiii?
Dadeki πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Dadeki πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Sijapentraaaa!! Mnioneshe team nzima ya south, huenda nikajipatia tumizi langu la kwa bed.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…