Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,906
- 7,127
Morocco to the final
Well desreved..Wameenda
Wangekusikiliza wala wasingesumbuka kuweka matumainiUmesahau Nija vs DRCongo?Kwenye kufuzu kombe la dunia.Nigeria hawana wapigaji wazuri wa peno.
Sahihi kabisaMorroco kapata timu ya kumtoa. Final ni Nigeria Vs Senegal
Hawa jamaa hata Kombe la Dunia wangekuwa washalileta Afrika. Shida ni matozi mnoo.Kkmako Chikwezwe unaleta utozi
Walau inakupa 98% scoring chancePenati ukipiga kwa nguvu hukosi