Umesahau Nija vs DRCongo?Kwenye kufuzu kombe la dunia.Nigeria hawana wapigaji wazuri wa peno.Moroco akiruhusu penati huyu kipa wa Naija atawazibia
Kina nani sasaWatafungwa tuu, watake wasitake
Mkuu, endelea kuangalia utaona, muda sio mrefuKina nani sasa
Naija wana kipa la kuzitoa. UtashangaaKwenye matuta Nigeria huwa wanatolewa!!
Kazidiwa vipj. Game 50/50 hiiKifupi Nigeria kazidiwa