Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Nimeumia sana walaqhi 😭😭😭😭😭😭😭😭
Pole! Usiku tumekesha na Cookie huku, alikuwa anashabikia Morocco kijanja.

Ila kuna kanamna alikuwa anatafuta mademu tu sio kawaida yake kukesha kisa ball😃😃 mbaya zaidi kina Shadeeya na cocastic hawakutokea kabisa, na Mahondaw akatoka nduki.
😅
 
Japo bana ile mechi ya mapema ilinikosha mno Mtani.

Ila Senegal ni maji marefu aiseee. Yaani Dakika karibia zote Mafarao hawana shots hata moja. Lol.

Salah alitamani ardhi ipasuke 😃😃 halafu alikuwa anakabwa na dogo tu. Kale ka Diouf.
 
Nasikia watu wameenda kama hawaendi ila ndo wameenda hivo!!!

Usshuuuunguuuuu!

Cc Smart911
 
Japo bana ile mechi ya mapema ilinikosha mno Mtani.

Ila Senegal ni maji marefu aiseee. Yaani Dakika karibia zote Mafarao hawana shots hata moja. Lol.

Salah alitamani ardhi ipasuke 😃😃 halafu alikuwa anakabwa na dogo tu. Kale ka Diouf.
Leo Mafarao wako na Nigeria kutafuta mshindi wa Tatu!!
 
Back
Top Bottom