Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,202
- 138,575
Hawa jamaa wapuuzi wanapoteza mpira kipuuzi tu. Au wamepewa hela na mwarabu?
Lakini unaona blacks wanavyopasia whites?Being Black in this world reduces more than 50% of your chance to be successful and the opposite is also true. Huyu refa haoni haya kabisa kuwaua majirani zake. Daah!
Kuna wakati Nigeria walikuwa na nyota wa hatari, akina Babayaro, Babangida, Sunday Oliseh, Finidi George nk, ila style yao ndio hiyo hiyo. Usiibetie hiyo timu asee.Hawa Nigeria hata kwenda kufunga wanaogopa