Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,905
- 7,135
Sio kanuni hiyoKwenye matuta Nigeria huwa wanatolewa!!
Sio kanuni hiyoKwenye matuta Nigeria huwa wanatolewa!!
Morocco anaenda FainaliHii game Nigeria ndiye mwenye bahati. Anaenda fainali. Wakimaliza dak 120
Huu ndo ukweli.Sioni Sénégal akimfunga Morocco fainali.Nadhani Nigeria now wanataka kufungwa yaishe. Fainali ni Morocco na Senegal. Bingwa Morocco
Ingawa Senegal wako full na timamu sana kimashindano, tatizo mbinu zao.Huu ndo ukweli.Sioni Sénégal akimfunga Morocco fainali.
Morocco anafika final na anabeba ndoo.Natamani Moroco atolewe, japo ndio anastahili kusonga