Morocco alidharau mechi, tofauti na hii ambayo wote wamekamiana.Tanzania walishindwaje kula 5
Shida ya hawa jamaa ni ya maisha na maisha. Ndio maana kuna wakati huwa tunawahisi wanachukua kitu kidogo yaishe. Mara nyingi wanakuwa na wachezaji nyota ila wanakuja kufungwa kifala sana.Naija wamechoka?
Nidhamu ni ufunguo wa mafanikioTanzania walishindwaje kula 5
Huyu refaa keshapewa maagizoDaah mtu kavutwa kabisa hakuna fauko. Maadui ni wengi