Morocco hawezi kubeba hii ndoo.Hii game Morocco anashinda zaidi ya goli moja, na ndio anayebeba ndoo
Hii game haitabiriki kirahisi kama watu tunavyodhani, itaamuliwa na vitu viwili tu.Kwa mwendo huu,Nigeria bye bye.
Refa aache watu wacheze, bila kuleta udadaKadi ya nini pale!!?
Hata kwenye hii game refa analeta mahabaHii game haitabiriki kirahisi kama watu tunavyodhani, itaamuliwa na vitu viwili tu.
1. Atakayetangulia kupata goli.
2. Upendeleo ambao Morocco amekuwa akipata kwenye mechi zake nyingi kwenye haya mashindano.
Ni kama vile kuna Agenda fulani hivi inasukumwa AFCON hii.Huyu refa ni ng'ombe