All the best faraoh. Japo mimi ni matumbi ila nashabikia Misri.Kinawaka Muda sio mrefu.
All the Best Senegal 🇸🇳
Refa ni mpumbafu tu. Huwezi kuwa unatoa kadi kirahisi hivi.Waarabu washaanza kumzonga refa asubuhi subuhi
Yeah Ili wakae kwenye mstari Ngoja tuone!Atakuwa anasema anatengeneza Discipline