Walizidiwa sanaDakika ya 28
Cameroon 0
Morocco 1
Game on...
Yeah Cameroon atubamizie moroco!Twende na Cameroon
Ndiyo ndiyo. Hii Cameroon inayoteseka ni ya Kocha au ya Etoo?Unamaanisha nini?
Au unazungumzia mgogoro wa Rais wa Shirikisho na waziri wa michezo?
Mweh kumbe washafunga !!!😳😳😳 Metoka dakika sifuri tu yangaweka nyavuni DuhhhhhhhhDakika ya 28
Cameroon 0
Morocco 1
Game on...
Refaree mimi simuelewi!View attachment 3527549
Why Dihane awe Refareee wa hii game?
Anazingua kinomaRefaree mimi simuelewi!
Analalia Morocco kiaina flani!
Mafala sana!Anazingua kinoma
Hawa dawa yao ni kuwagomea tu mechi yao hili shindano na kuwatia aibu!Marefa wana taarifa maalumu kwa kweli...
Dawa yao ni timu za waafrica wabantu kugomea hili shindano!!Mahali pa kadi kwa Morocco anachuna