SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

132e85cc4e2a1f1b41dbafc744e50a34.jpg
 
Shukrani mkuu. Mambo ya red wedding! Series tamu sana hii. Ila vitabu vyake vitamu zaidi. Waliniudhi walivyombadilisha jaime. Nikaacha kufuatilia
Daario Nahairis nadhani

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Kwa wapenzi wa season kali ya game of throne ni nan unamkubali zaid mbaka ulipofikia saizi
[emoji146]
 
Kwa wapenzi wa season kali ya game of throne ni nan unamkubali zaid mbaka ulipofikia saizi
[emoji146]
Kwa wa kike namkubali sana Arya, anamipango mikali sana dogo afu anajiamini balaa..cheza nae anakunyoosha.

Kwa wa kiume Tyrion Lannister, huyu habari nyingine kabisa..
 
View attachment 611716 View attachment 611717

Its a very nice Series ipo based kwenye vitabu vya A Song of Ice and Fire; ni nzuri na dialogue yake ni bomba sana; inahusu mapambano ya familia (clans tofauti tofauti) wanagombania kuongoza Seven Kingdoms...,
Mpaka sasa series imeingia episode ya nne na mwandishi ameshaandika vitabu sita; cha saba huenda kikatoka mwisho wa mwaka huu; na amesema inabidi aandike haraka kabla series haijamkamata na kumfikia kabla hajamaliza..

Ni series nzuri yenye dialogue za nguvu, some fighting, some magical things as well as nudity na sex (which is a shame sababu watoto watashindwa kuangalia which would have been an otherwise entertainment for everyone) Kwahio angalia ila usiangalia na watoto
Napenda ile tune kila episode inapokua inaanza nimeangalia mwaka jana nakumbuka Kingdom moja tu King's Landing.
Namkubali dwarf ana akili balaa
 
"when they ask you what happened here tell them winter came for housefrey"

"My name is Arya stark, am from winterfell and am going home"

My best Character ni Arya stark ( Massie Williams)
 
Jamani mwenye series kali nahitaji ,nitatoa hata pesa ikiwemo game of throne
 
Jana ndiponnimetazama season ya 7 naona mambo yanaelekea mwisho na season ya 8 ndiyo itakuwa ya mwisho.
Naona houses nyingi zimeanguka na Arya taratibu kafanya revenge yake kwa wale waliohusika na vifo vya familia yake.
Lanisters naona mwisho wataangukia pua ila sasa utata unabaki kwa khaleese na john snow ambao sasa ni wapenzi bila kujua kuwa ni ndugu wala john snow siyo mtoto haramu wa stark house.
Sasa hapo utata ni kwamba john snow ndiye anabidi akalie the iron throne na siyo khaleese jambo ambalo sidhani kama khaleese atalikubari.
Na mambo yanavyoelekea khaleese atapata mimba ya john snow.
Sansa na Aryan naona wamefanikiwa kushinda hila za mjomba wao za devide and rule wakamuua maana nilihan atawagombanisha na kumfanya mmoja amuue mwenzake.
Pia dada yake dwarf kawaongopea akina john snow kuwa ata wasupport katika vita dhidi ya night king kumbe anataka wakiwa vitani yeye atume majeshi yake yachukue ardhi yote.
Game of thrones kwa sasa ndiyo series inayoongoza kuwa na high rates za kutazamwa na pia kuwa na many pirated downloads.
Hata mwaka jana ilikuwa hivyo hivyo.
HBO wametengeneza kitu safi sana nilikiwa mpenzi wa spartacus nikadhani hakuna series kama ile itakuja tengenezwa but GOT is far better than Spartacus sijui ikiisha wataleta ipi ya maana.
 
Uko sahihi chief...
Kwangu GOT,Spartacus na Vikings ndio zimebaki kuwa series kali nilizowahi kuziangalia mpaka sasa..!
Vikings nlitazama mpaka season 2 mkuu sikuendelea itabdi niendelee maana ishaniacha sana.
Series gani nyingine iko kwenye plot za zamani kama hiyo niitazame?
Pia nilikuwa natazama salem ilabseason ya mwisho sikuitazama yote.
 
Vikings nlitazama mpaka season 2 mkuu sikuendelea itabdi niendelee maana ishaniacha sana.
Series gani nyingine iko kwenye plot za zamani kama hiyo niitazame?
Pia nilikuwa natazama salem ilabseason ya mwisho sikuitazama yote.
Ukimaliza Vikings cheki the last kingdom plot yake ni mwenzelezo wa Vikings ila inatazama zaidi upande wa England.
 
Back
Top Bottom