HujanishawishiBado nini tena?
Sasa mtoto mzuri unataka ushawishi gani tena?
Si uniambie mwana wa mwanamke mwenzio ili roho yangu isuuzike?
Au hupendi mimi nipate raha?[/QUOTE]
Hah! Yaani u wii wetu sie ukakunyime raha wewe!
Hebu tuache watoto wa wanaume wenzio tule rahaaaa
😛ray:😛ray:
:blah::blah::becky::becky:
Nini tena mtoto mzuri??
Nime kumiss
Baba paroko asante kwa ujumbe mzuri.
Mie niko singo nahitaji sana maombi yako nimpate Mr right!