BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Haya baba.......
Mhhhhhhhhhh
asante baba Paroko ila kuna baadhi ya wanaume jaamani hata uwafanyie
nini hawakai waridhike
wii naona amekuwa msemaji wao.....nilidhani parokian tu kumbe hadi huku
Wii,mbona kama kuna uniformity kwenye hii sector?
Aaaargh!
Talk to them Eiyer wasi shift blames baadae
Visingizio.com
I'm baba paroko remmember
I can talk on behalf of anyone
Including your man...!!!!
Hivi huyo ni wii wako kwa nani?
Huoni umuhimu wa baba paroko kujua?
Haha haaaaaa!!!
Keep on doing the good job baba paroko
Yasikushinde tu!
Soon utakuwa mtabiri baba ParokoHakuna tatizo la aina yoyote na nimefanya hili kwa niaba yao na kuna baraka zao kabisa
Mbona huamini?
Au wako ni Idd Amin??
.....lol!!!!!!!!!!!!!!!
Niambie basi mtoto mzuri!!!!