Tunaweza kutumia hizi sababu kuanzisa madai ya kujitenga kwa mikoa ya kaskazini ya tanzania?Wana historia tofauti, wa Catalonia wana tamaduni zao hata lugha yao ni tofauti hawaongei ki hispania hii pekeyake ni sababu tosha ya kutaka kujitenga. Pia ki uchumi Catalonia ni kati ya maeneo tajiri zaidi spain kwaio wanaona spain wafaidika zaidi na huu muungano. Yaani Catalonia wanaingizia nchi mapato mengi lakini wao wenyewe hawafaidiki sana ni bora kujitawala wenyewe tu...
Katika mwaka 2056 Tanzania tunayoifahamu I anaweza kugawayika na kuunda Jamhuri kadhaaHata chadema waombe wajitenge waishi huko huko kaakazin wawe na serikal yao
Duuu, kumbe ndio mwepesi hiviHata chadema waombe wajitenge waishi huko huko kaakazin wawe na serikal yao
Mkijitenga itakua poa sanaTunaweza kutumia hizi sababu kuanzisa madai ya kujitenga kwa mikoa ya kaskazini ya tanzania?
Katika mwaka 2056 Tanzania tunayoifahamu I anaweza kugawayika na kuunda Jamhuri kadhaa
1.Jamhuri ya Kilimanjaro, itajumuisha mkoa wa Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Tanga.
2. Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
3. Jamhuri ya Tanganyika, ikijumuisha mikoa ya Kigoma, Katavi, rukwa
4. Jamhuri ya Mwanza, ikijumuisha Mwanza, Kagera, Shinyanga, Mara, geita, simiyu,tabora
5. Shirikisho la azania ikijumuisha Dar es Salaam, Pwani, mafia
6. Jamhuri ya Ruaha ikijumuisha Iringa, Mbeya, Njombe,
7. Jamhuri ya Ruvuma ikijumuisha Ruvuma, Mtwara, Lindi.
Tuombe itokee. Maana sababu za catalunya na hapa kwetu zipo kwa north.Mkijitenga itakua poa sana
Kwa kipi mlichonacho???Tuombe itokee. Maana sababu za catalunya na hapa kwetu zipo kwa north.
Katika mwaka 2056 Tanzania tunayoifahamu I anaweza kugawayika na kuunda Jamhuri kadhaa
1.Jamhuri ya Kilimanjaro, itajumuisha mkoa wa Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Tanga.
2. Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
3. Jamhuri ya Tanganyika, ikijumuisha mikoa ya Kigoma, Katavi, rukwa
4. Jamhuri ya Mwanza, ikijumuisha Mwanza, Kagera, Shinyanga, Mara, geita, simiyu,tabora
5. Shirikisho la azania ikijumuisha Dar es Salaam, Pwani, mafia
6. Jamhuri ya Ruaha ikijumuisha Iringa, Mbeya, Njombe,
7. Jamhuri ya Ruvuma ikijumuisha Ruvuma, Mtwara, Lindi.
4.Jamhuri ya Watu wa NYANZA [emoji1491]
SUKUMA LAND
Hapo 4 Kagera itoe tutarudi zetu UgandaKatika mwaka 2056 Tanzania tunayoifahamu I anaweza kugawayika na kuunda Jamhuri kadhaa
1.Jamhuri ya Kilimanjaro, itajumuisha mkoa wa Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Tanga.
2. Jamhuri ya Watu wa Zanzibar
3. Jamhuri ya Tanganyika, ikijumuisha mikoa ya Kigoma, Katavi, rukwa
4. Jamhuri ya Mwanza, ikijumuisha Mwanza, Kagera, Shinyanga, Mara, geita, simiyu,tabora
5. Shirikisho la azania ikijumuisha Dar es Salaam, Pwani, mafia
6. Jamhuri ya Ruaha ikijumuisha Iringa, Mbeya, Njombe,
7. Jamhuri ya Ruvuma ikijumuisha Ruvuma, Mtwara, Lindi.
4.Jamhuri ya Watu wa NYANZA [emoji1491]
SUKUMA LAND
Kuitoa Kagera Wahaya hawajawahi kuwa vilaza.Jamhuri ya watu wa kolomije ( vilaza republic)