shibekijijini
JF-Expert Member
- May 26, 2015
- 358
- 478
Ndugu zanguni,
Kwanza kabisa nawasalimieni wote.
Naomba mnisaidie mimi nina kiasi cha Shilingi Lack 5 cash, nahitaji msaada wa kufika tu South Africa. Swali langu kubwa linalonitesa ni kwamba, nikitoka Dar kwa njia ya Bus nikifika South Africa mwisho wa Bus huo mji unaitwaje? Na je nitapata Guest ya kulala ya bei ndogo? Na ni sh ngapi? Na ili nipate hiyo Guest itabidi niusafiri au nielekee wapi?
Nb; Nikifika huko sitegemei kurudi Tz, ujuzi nilionao ni IT lakini pia nilishawahi kuwa fundi viatu. Je huko naweza kupata ajira? Lakini pia niko vizuri kwa kulima hasa kwa kutumia jembe la mkono.
Asante.