South Africa nitafikaje?

South Africa nitafikaje?

Ndugu yangu shibekijijini baki bongo south unafuata nini? Huku kuna bastola nje nje hapafai kabisa
 
Kwanjia ya Bus inafaa, sema utasumbuana na askari wa mipakani, utazunguka sana, utatoa rushwa sana, ila kama una makaratasi, haina shida... Na kama una pasport bora utumie ndege tu.. Kuna watu wanakufa sana kwa njia ya bus
Watu wanafia wapi?
 
Una MTU Wa kukupokea Huko uendako?au unaenda tuu kutafuta maisha?km jibu la pili ndyo nakushauri USIENDE

Miaka 10 iliyopita tulielekea Huko vijana5,tulifika Wawili yaliyotukuta wee acha tu.
 
Fastjet laki 3 tu, hiyo lakimbili iliyobaki unaanzia maisha, naskia south Wanaruhusu raia kutoka TZ akae miezi mitatu bila visa.. So hapo ukishaingia kule utajua ufanye nini ili uwakwepe polisi au upate work permit ya professional yako..
Ivi shida yote y nin... Maisha yako uko tu?
 
Ktk hatua za awali Nimejaribu kufatilia passport nimeambiwa ni elfu 500 kwani unapo zungumzia karatasi unamanisha zile ambazo niza muda mfupi km miezi 3? Kuna miaka ya nyuma nilikwenda Uganda nilicho pewa Kwenye ofisi za migration nilipewa karatasi moja tu ambayo ukifika mpakani unagongewa mhuri, bila Shaka umemanisha hyo. Mi ntajitahidi niwe na karatasi au pass ili mradi wakose visingizio vya rushwa, sitaki njia za panya
kumbe hauna hata passport yet.?
 
Kwanjia ya Bus inafaa, sema utasumbuana na askari wa mipakani, utazunguka sana, utatoa rushwa sana, ila kama una makaratasi, haina shida... Na kama una pasport bora utumie ndege tu.. Kuna watu wanakufa sana kwa njia ya bus
Ivi uyu akipata matatizo unadhani ntamuurumia!!!
 
Tafuta eneo uanze kilimo cha mbogamboga hapa hapa nchini badala ya kwenda kuadhirika huko ugenini ndugu
 
Nenda tu wala usisikilize ya mtu. Ila ukae ukijua kabisa ukifika huko UTAKULA ULIKOPELEKA MBOGA
 
Fastjet laki 3 tu, hiyo lakimbili iliyobaki unaanzia maisha, naskia south Wanaruhusu raia kutoka TZ akae miezi mitatu bila visa.. So hapo ukishaingia kule utajua ufanye nini ili uwakwepe polisi au upate work permit ya professional yako..
Mkuu Tz iko kwenye jumuhiya ya SADC, hautakiwi kupata visa ila tuu wanakupa miezi mitatu free bila permit co visa
 
Ndugu zanguni, kwanza kabisa nawasalimien wote. Naomba mnisaidie mimi nina kiasi cha Shilingi Lack 5 cash, nahitajj msaada wa kufika tu South Africa. Swali langu kubwa linalo nitesa ni kwamba, Nikitoka Dar kwa njia ya Bus nikifika South Africa Mwisho wa Bus huo mji unaitwaje? Na je ntapata Guest ya kulala ya bei ndogo? Na ni sh ngapi? Na ili nipate hiyo Guest itabidi niusafiri /AU nielekee wapi? Nb nikifika huko sitegemei Kurudi Tz, ujuzi nilio nao ni IT.lakini pia nilisha wahi kuwa fundi Viatu. Je huko naweza kupata ajira? Lakin Pia niko vzr kwa kulima hasa kwa kutumia jembe la mkono. Asante.
Unaposema uko vizuri kwa kulima hasa kwa kutumia jembe la mkono una maanisha nini? Umejuaje kama upo vizuri kwa kulima na hasa kwa kutumia jembe la mkono? Ulipata faida ya mazao au unalima heka moja kwa jembe la mkono,kwa saa moja?

Tafuta Passport,nenda kwa ndege ukajaribu maisha acha kuwasikiliza wakatisha tamaa,uamuzi unao wewe mwenyewe coz humu wapo watakao kwambia,nenda na wapo watakao kwambia usiende.
 
Ndugu yangu shibekijijini baki bongo south unafuata nini? Huku kuna bastola nje nje hapafai kabisa
Ziko nje nje hasa kwa mtu ambae ni mhalifu, ina maana hizo bastola analengwa mtu yeyote au kuna sababu za kulengwa?
 
Una MTU Wa kukupokea Huko uendako?au unaenda tuu kutafuta maisha?km jibu la pili ndyo nakushauri USIENDE

Miaka 10 iliyopita tulielekea Huko vijana5,tulifika Wawili yaliyotukuta wee acha tu.
Kwakweli nakwenda kwa ajili ya kutafuta maisha, naomba uniambie sababu kubwa ya kupoteza marafiki hao ulio kuwa nao ilikuwa ni nini?
 
Back
Top Bottom