South Africa kuna msiba au sherehe?!

S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
32,499
Likes
68,713
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
32,499 68,713 280
Hivi huu msiba wa mzee Mandela unastahili kuitwa msiba?Watu wanaonekana wenye furaha tena wakiimba na kucheza!Hivi mtu ukiwa na uchungu wa kufiwa unaweza kweli kugeuza msiba kuwa ni tukio la kusheherekea maisha ya marehemu?!Au watu wanangoja mpaka waone anazikwa ndio wajue mwenzetu ametutoka?

Mimi naona huu sasa ndio mwanzo wa misiba kuwa sherehe kubwa kwa siku zijazo.Tunakoelekea misiba itakuwa ni kama sherehe hata kwa watu wa kawaida tu.

Heshima za kijeshi na mambo mengine ni ziada tu ila kipimo kikubwa ni mioyo ya wafiwa.

Yanayoendelea South Africa ni "mapinduzi katika ulimwengu wa misiba"
 
sixgates

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Messages
3,974
Likes
112
Points
145
sixgates

sixgates

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2011
3,974 112 145
Ha ha ha haa "mapinduzi katika ulimwengu wa misiba" hahaha hicho kizazi cha hapo south africa natamani mukielewe jaman, asilimia kubwa wamepinda, wavivu, haswa hili kabila la afrikanas wanapenda sana bata. Bado south kuna matabaka sana, wale makaburu ndio wameendelea sn.

Wakat tz nyererer amefariki watu walipiga vilio tena vya kwikwi lakin south wanasheherekea, naweza kusema pengine hawajaguswa na huu msiba. Ndio maana hata waandishi wa habari wa kimataifa wanawauliza mtu akifa mnashangilia? Wanawajibu hapana, tunahuzunika mandela kafa, but finaly tunafurahia kwa sababu kapumzika
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
32,499
Likes
68,713
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
32,499 68,713 280
"To much of every thing is harmful"
 
Ukichunguza vizuri utaona ni kama wamelewa ile "world sympathy" na sasa wanatia aibu!

Iko siku wazungu watatukejeli kutokana na yanayoendelea huko South Africa.

Hii ni aibu iliyofichwa na uzito wa huu msiba ila wakati utafika watu watajutia tukio hili.

Ni tukio ambalo limekuwa mishandled na sisi watu weusi.
 
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Messages
15,871
Likes
86
Points
145
nngu007

nngu007

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2010
15,871 86 145
Hivi huu msiba wa mzee Mandela unastahili kuitwa msiba?Watu wanaonekana wenye furaha tena wakiimba na kucheza!Hivi mtu ukiwa na uchungu wa kufiwa unaweza kweli kugeuza msiba kuwa ni tukio la kusheherekea maisha ya marehemu?!Au watu wanangoja mpaka waone anazikwa ndio wajue mwenzetu ametutoka?

Mimi naona huu sasa ndio mwanzo wa misiba kuwa sherehe kubwa kwa siku zijazo.Tunakoelekea misiba itakuwa ni kama sherehe hata kwa watu wa kawaida tu.

Heshima za kijeshi na mambo mengine ni ziada tu ila kipimo kikubwa ni mioyo ya wafiwa.

Yanayoendelea South Africa ni "mapinduzi katika ulimwengu wa misiba"

Tanzania hampati HABARI kamili pamoja na kuwa kwenda SOUTH AFRICA hakuna haja ya VISA?

Walitangaza toka MWANZO Mandela amefariki akiwa na Miaka 95 Watasherekea Miaka aliyokuwa hapa DUNIANI kwa CHANGES alizofanyia DUNIA kwa UJUMLA

Kwahiyo ni SHEREHE sio HUZUNI Jamani
 
M

Mlenga

Member
Joined
Dec 9, 2013
Messages
16
Likes
1
Points
0
M

Mlenga

Member
Joined Dec 9, 2013
16 1 0
Wanasherehekea maisha ya mandela. Ameishi miaka 95. Zaidi ya umri wa kawaida kwa sasa. Amefanya mambo makubwa.So ni sherehe ya aina yake...
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
32,499
Likes
68,713
Points
280
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
32,499 68,713 280
Tanzania hampati HABARI kamili pamoja na kuwa kwenda SOUTH AFRICA hakuna haja ya VISA?

Walitangaza toka MWANZO Mandela amefariki akiwa na Miaka 95 Watasherekea Miaka aliyokuwa hapa DUNIANI kwa CHANGES alizofanyia DUNIA kwa UJUMLA

Kwahiyo ni SHEREHE sio HUZUNI Jamani
It does not make sense and it is totaly illgocial!

Kifo ni kifo tu!
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
491
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 491 180
Mandela has done enough for his people. Let him rest in peace
 
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,168
Likes
5,293
Points
280
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,168 5,293 280
Angalia umri wa Mandela na Nyerere kipindi wanafariki.
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,803
Likes
697
Points
280
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,803 697 280
Hata kwangu ni sherehe ameteseka kitandani for how long? alikuwa hana opportunity ya kuishi tena ni sawa tu hata wakisherekea
 
N

ngoshas

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
708
Likes
10
Points
0
N

ngoshas

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2011
708 10 0
Wao wenyewe hawataki kuuita mcba, wanasherehekea Kwa Kazi kubwa aliyoifanya maishani mwao. Na Ndo Maana watakaomzika NI familia tu, wengine wataishia kwenye hizi hotuba
 
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
9,485
Likes
12,645
Points
280
Consigliere

Consigliere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
9,485 12,645 280
Sherehe za Mazishi.
 
Balantanda

Balantanda

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Messages
12,390
Likes
1,182
Points
280
Balantanda

Balantanda

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2008
12,390 1,182 280
Hivi huu msiba wa mzee Mandela unastahili kuitwa msiba?Watu wanaonekana wenye furaha tena wakiimba na kucheza!Hivi mtu ukiwa na uchungu wa kufiwa unaweza kweli kugeuza msiba kuwa ni tukio la kusheherekea maisha ya marehemu?!Au watu wanangoja mpaka waone anazikwa ndio wajue mwenzetu ametutoka?

Mimi naona huu sasa ndio mwanzo wa misiba kuwa sherehe kubwa kwa siku zijazo.Tunakoelekea misiba itakuwa ni kama sherehe hata kwa watu wa kawaida tu.

Heshima za kijeshi na mambo mengine ni ziada tu ila kipimo kikubwa ni mioyo ya wafiwa.

Yanayoendelea South Africa ni "mapinduzi katika ulimwengu wa misiba"
Kwa watu wenye imani msiba sio huzuni...Msiba ni furaha.....

Btw.....Umeshawahi kuhudhuria msiba wa WANYAKYUSA???
 
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,153
Likes
1,594
Points
280
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,153 1,594 280
Huenda ni utamaduni wao.... Kuna kabila fulani sitopenda kulitaja, misiba yao huwa ni sherehe... watu hula, hunywa na hata kucheza muziki juu ya kaburi baada ya mazishi!!!
 
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Messages
19,176
Likes
223
Points
160
OLESAIDIMU

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2011
19,176 223 160
It does not make sense and it is totaly illgocial!

Kifo ni kifo tu!
Utakufa kwa pressure wewe bila sababu! !!!!!
Societies are led by some peculiar "culture" ; when one is too famous expect some cultural shocks!!!!!!!
 
Noti mpya tz

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
976
Likes
49
Points
45
Noti mpya tz

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
976 49 45
Arien Sharon, sijui kama nimelipatia jina lake kuliandika, yule wa Israel amelala kitandan miaka mingapi? Na je, waisrael watashangilia uwepo wake duniani siku akifa? These are two different people in any aspect.
 
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Messages
10,370
Likes
1,297
Points
280
Chimunguru

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined May 3, 2009
10,370 1,297 280
Hata mimi nasherekea sababu mandela kaihuisha ndoto yake ya free south africa. Na yeye akaweza kuwa presidaa na kuwaunganisha watu wake. Kaweza kuishi miaka 95 zaidi ya kawaida. Kinachofuata ni kumshukuru mungu na kusherekea mafanikio yake, wnafamily watalia lkn sie wa mbali tunasherekea maisha yake. HAkusubiri south africa imtunze, yeye kaitunzia amani south africa
 
Noti mpya tz

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
976
Likes
49
Points
45
Noti mpya tz

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
976 49 45
kifo kwa mapenzi ya Mungu ni vizuri kushangilia sisi Nyerere alikufa kwa mapenzi ya binadamu ndo maana tulihuzunika na tukalia. RIP Nyerere na Lumumba....
 
DSN

DSN

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
2,790
Likes
128
Points
160
DSN

DSN

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
2,790 128 160
Hivi huu msiba wa mzee Mandela unastahili kuitwa msiba?Watu wanaonekana wenye furaha tena wakiimba na kucheza!Hivi mtu ukiwa na uchungu wa kufiwa unaweza kweli kugeuza msiba kuwa ni tukio la kusheherekea maisha ya marehemu?!Au watu wanangoja mpaka waone anazikwa ndio wajue mwenzetu ametutoka?

Mimi naona huu sasa ndio mwanzo wa misiba kuwa sherehe kubwa kwa siku zijazo.Tunakoelekea misiba itakuwa ni kama sherehe hata kwa watu wa kawaida tu.

Heshima za kijeshi na mambo mengine ni ziada tu ila kipimo kikubwa ni mioyo ya wafiwa.

Yanayoendelea South Africa ni "mapinduzi katika ulimwengu wa misiba"
Ila ni kwa great minds people kuanzia level zote familia, kaya, koo, kabila mpaka Taifa.Na tayari hapa nyumbani kuna baadhi ya watu mazishi yao yalikuwa ni furaha haijalishi umri bali mazuri mangapi ameyafanya kwenye jamii.
 
Mawenzi

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
1,257
Likes
12
Points
0
Mawenzi

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
1,257 12 0
Huenda ni utamaduni wao.... Kuna kabila fulani sitopenda kulitaja, misiba yao huwa ni sherehe... watu hula, hunywa na hata kucheza muziki juu ya kaburi baada ya mazishi!!!
Jamani huo ni utamaduni wao. Kwa hapa Tanzania Wanyakyusa wanacheza ngoma na kucheza nyimbo za kienyeji baada ya mazishi. Na pia wanakunywa pombe sana. Na hii inafanywa kwa siku nyingi kutegemeana na umaarufu wa marehemu. Na wakati wa kuomboleza ng'ombe wengi (kutegemeana na umaarufu wa marehemu) wanachinjwa. Lkn siku hizi haifanywi tena kwa sababu serkali imelazimisha kuwa kuomboleza kusizidi siku tano baada ya mazishi. Ni heshima kubwa sana marehemu kufunikwa na blanketi kaburini. Mzee akipewa zawadi ya blanketi hufurahi sana na kusema kushukuru kwa kusema "ahsante kwa kunizika! Inatosha sana hata kama hutakuja kuhudhuria msiba wangu". Nimeshangaa sana kusikia kuwa Mandela naye atafunikwa kaburini na blanketi badala ya bendera South Afriica.

Nasikia Wajaluo nao hucheza muziki wakati wa msiba.
 
Forum statistics

Threads 1,250,642
Members 481,436
Posts 29,740,301