SIAFIKI utaratibu wa watu kula msibani

SIAFIKI utaratibu wa watu kula msibani

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,353
Reaction score
6,916
salaam,

Huenda wazo lilikua jema watu wanapofika kuwafariji wafiwa pia wale hapo ili kuweka mshikamano.

Lakini utaratibu huu binafsi naona haufai sana maana ni kama umekua mzigo kwa wafiwa hasa misiba ya familia za hali ya chini.

Kuna msiba umetokea hapa mtaani kwetu (Mungu awafariji wafiwa pia amrehemu marehemu) aise wafiwa hapa wanahangaika mara kijana anachimba mashimo ya kuweka mahema mara kapanda pikipiki amefuata kuni akirudi anaingia chumbani kwake analia uchungu wa kufiwa baba mzazh akitoka nje awahudumie wageni jamani daaah.

Nimeshuhudia misiba mingi ya familia za chini wafiwa ni kama huwa wanapata mzigo kwa watu kuja kutoa faraja.

Mara nyingi utaona wanapika chakula kikiiva wao ndio watazunguka kugawa chakula kwa wageni yote hii pia ni kutokana waTanzania tumezoea ukarimu kuwakarimu wageni jambo linalowafanya wafiwa kupewa mzigo wakati wanapitia kipindi kigumu.

Na hapo utakuta mimtu inaenda msibani inarundikana vikundi na kupiga story za siasa au simba na yanga huku wafiwa wakitarajiwa wawe wakarimu kwa kuwahudumia wageni hawa eti wamekuja "kufariji". HII SIO SAWA

Mara nyingine msiba ukiisha kuna vitu viliazimwa kama masufuria, sahani, maturubai, viti, na kutokana na ustaarabu mbovu wa "wageni wafariji" labda vimepotea au vimeharibika mzigo hua unaachwa kwa familia ya wafiwa
 
Hauko sahihi na sikuungi hoja. Hizo ni custom zetu toka enzi na enzi. Tukio lolote linalokutanisha watu liwe either huzuni au furaha lazima kuwe na kinywaji+chakula.

Afu sijui umepotosha au namna gani, sidhani kama kuna misiba ikitokea ndugu ndio wanafanya shughuli zote hizo unless anateuliwa mtu mmoja anasimamia taratibu zote kama muwakilishi.
 
Kwa upande wangu mimi kinacho nikera ni ile tabia y wafiwa kubagua vyakula

Unakuta mtu amekuja kwa msiba amekuta wali umepikwa yeye anakwambia hali wali so mumpikie ugari
Mwingne anakwambia sili wali marage mnitaftie mboga nyingne
 
Mkuu inakera sana. Yani eti huyu anaejichagulia mboga nae amekuja kuwafiji wafiwa
 
Aise huko kwenu wapi wafiwa hawafanyi kazi ? Niko Moro hapa na katika misiba mingi tu wafiwa mara nyingi wao ndio wahusika wakuu
Utaratibu wenu wa ovyo. Misibani wafiwa hawafanyi kazi. Majirani, Marafiki, vikundi mbalimbali, ndio wanafanya. Mfano hapo wewe inabidi uweke simu chini umsaidie mfiwa kuchimba mashimo ya kusimamisha tents.
 
Binafsi mi nimeachana na utaratibu huu wa kula misibani. Huwa nakula nyumbani au migahawani kama msiba uko mbali na nyumbani. Sioni ufahari kula msibani ni sehemu ya maombolezo/huzuni. Kwanza ni utaratibu mpya sijui nani alianzisha.

Zamani ilikuwa hakuna chakula msibani, mkizika mnarudi nyumbani kwa msiba kunywa uji kikombe kimoja tu tena si wote ni baadhi ya watu tu na si lazima uji uwepo. Kwa mila na desturi za kabila letu chakula kilipikwa siku ya tatu kama tukio la kuanua matanga.

Tena hapo kwenye kuanua matanga misosi hupikwa waombolezaji wale, waagane na kutawanyika kila mtu arudi alikotoka kuendelea na maisha yake kama kawaida
 
Japokua mm sipendi utaratibu wa watu kukusanyika siku nyingi, Ikitakiwa watu wawe wanakusanyika siku ya mazishi tu baada ya hapo wanabadi wana familia na ndugu kumalizia msiba au kama kuna watu wanakuja kusalimia wanasalimia na kuindoka.

ila unakuta msiba upo homme week nzima hasa hasa huko unyakyusani.
 
salaam,

Huenda wazo lilikua jema watu wanapofika kuwafariji wafiwa pia wale hapo ili kuweka mshikamano.

Lakini utaratibu huu binafsi naona haufai sana maana ni kama umekua mzigo kwa wafiwa hasa misiba ya familia za hali ya chini.

Kuna msiba umetokea hapa mtaani kwetu (Mungu awafariji wafiwa pia amrehemu marehemu) aise wafiwa hapa wanahangaika mara kijana anachimba mashimo ya kuweka mahema mara kapanda pikipiki amefuata kuni akirudi anaingia chumbani kwake analia uchungu wa kufiwa baba mzazh akitoka nje awahudumie wageni jamani daaah.

Nimeshuhudia misiba mingi ya familia za chini wafiwa ni kama huwa wanapata mzigo kwa watu kuja kutoa faraja.

Mara nyingi utaona wanapika chakula kikiiva wao ndio watazunguka kugawa chakula kwa wageni yote hii pia ni kutokana waTanzania tumezoea ukarimu kuwakarimu wageni jambo linalowafanya wafiwa kupewa mzigo wakati wanapitia kipindi kigumu.

Na hapo utakuta mimtu inaenda msibani inarundikana vikundi na kupiga story za siasa au simba na yanga huku wafiwa wakitarajiwa wawe wakarimu kwa kuwahudumia wageni hawa eti wamekuja "kufariji". HII SIO SAWA

Mara nyingine msiba ukiisha kuna vitu viliazimwa kama masufuria, sahani, maturubai, viti, na kutokana na ustaarabu mbovu wa "wageni wafariji" labda vimepotea au vimeharibika mzigo hua unaachwa kwa familia ya wafiwa
bora tuendelee na utaratibu huo huo wa kupendana,

huko marekani wale jamaa wanaishi kama wanyama, kijana akifikisha miaka 18 tu anaanza kujitegemea na anawaacha wazazi wake wapambane na hali yao. hali kadhalika wazazi nao wakizeeka wanaishia kupelekwa kwenye care house za wazee, huko ni mwendo wa kuishi upweke utafkiri upo jehanamu. sasa si bora sisi wabongo tunaendelea kuishi kama binadamu wenye kujielewa.
 
salaam,

Huenda wazo lilikua jema watu wanapofika kuwafariji wafiwa pia wale hapo ili kuweka mshikamano.

Lakini utaratibu huu binafsi naona haufai sana maana ni kama umekua mzigo kwa wafiwa hasa misiba ya familia za hali ya chini.

Kuna msiba umetokea hapa mtaani kwetu (Mungu awafariji wafiwa pia amrehemu marehemu) aise wafiwa hapa wanahangaika mara kijana anachimba mashimo ya kuweka mahema mara kapanda pikipiki amefuata kuni akirudi anaingia chumbani kwake analia uchungu wa kufiwa baba mzazh akitoka nje awahudumie wageni jamani daaah.

Nimeshuhudia misiba mingi ya familia za chini wafiwa ni kama huwa wanapata mzigo kwa watu kuja kutoa faraja.

Mara nyingi utaona wanapika chakula kikiiva wao ndio watazunguka kugawa chakula kwa wageni yote hii pia ni kutokana waTanzania tumezoea ukarimu kuwakarimu wageni jambo linalowafanya wafiwa kupewa mzigo wakati wanapitia kipindi kigumu.

Na hapo utakuta mimtu inaenda msibani inarundikana vikundi na kupiga story za siasa au simba na yanga huku wafiwa wakitarajiwa wawe wakarimu kwa kuwahudumia wageni hawa eti wamekuja "kufariji". HII SIO SAWA

Mara nyingine msiba ukiisha kuna vitu viliazimwa kama masufuria, sahani, maturubai, viti, na kutokana na ustaarabu mbovu wa "wageni wafariji" labda vimepotea au vimeharibika mzigo hua unaachwa kwa familia ya wafiwa
Makosa yanakua yakwenu kuwatazama wafiwa wakizunguka huku na huko kuwakarimu nyinyi.
 
Hauko sahihi na sikuungi hoja. Hizo ni custom zetu toka enzi na enzi. Tukio lolote linalokutanisha watu liwe either huzuni au furaha lazima kuwe na kinywaji+chakula.

Afu sijui umepotosha au namna gani, sidhani kama kuna misiba ikitokea ndugu ndio wanafanya shughuli zote hizo unless anateuliwa mtu mmoja anasimamia taratibu zote kama muwakilishi.
Huo ni ulafi ,Haifai kula msibani
Ova
 
Back
Top Bottom