Soundtrack for the bedroom............ My top 20

Kongosho jamani yuko wapi mbona zake hajatupa................ha ha ha ha ha .........am dying to see hers..oops his .....ooops.....hah ha ha ha
 
Kaka yangu hunitakii mema, yaani kunioza kwa mtaalamu wa cheating! Khah, sijui ndio kuchoka kuombwa pesa kila katikati ya mwezi huko; yaani bora niolewe tu eeh?

Haya bwana.

Mmmh Kaunga ilumbuye.......?
 
ha ha ha, naona mshataja zote, sasa zangu za kisukuma hamna anayezijua.

Ila na hizi huwa nazisikia

ballerina girl Lionel Richie, kwa kum-undress tu

your body is calling R. Kelly, wakati naangalia pa ku-attack

sex me R. Kelly, kwa kufanya shambulio lenyewe

love scene Joe thomas, kama hapo juu au ku-regain konshazi

Tangazo la tuko wangapi? Hasa kama ni one night stand

Kongosho jamani yuko wapi mbona zake hajatupa................ha ha ha ha ha .........am dying to see hers..oops his .....ooops.....hah ha ha ha
 
ha ha ha, naona mshataja zote, sasa zangu za kisukuma hamna anayezijua.

Ila na hizi huwa nazisikia

ballerina girl Lionel Richie, kwa kum-undress tu

your body is calling R. Kelly, wakati naangalia pa ku-attack

sex me R. Kelly, kwa kufanya shambulio lenyewe

love scene Joe thomas, kama hapo juu au ku-regain konshazi

Tangazo la tuko wangapi? Hasa kama ni one night stand

Mmmmh Kongosho,si unajua mimi ni "MDAKAMA"(mmmh sijui nimepatia)hizo za kisukuma hazita nisumbua sana......ha ha ha ha ..........Mmmmh nimependa haya matukio na muziki wenyewe,unaonekana ni mtaalamu kwenye haya mambo......ha ha ha ha
 
Tangazo la tuko wangapi? Hasa kama ni one night stand

Duh Kongosho...... hapo umamaliza........Asante kwa kutukumbusha maana matandao nao ni noma....ha ha ha
 
1. Jaheim- Fabulous,
2. Whitney Houston-My luv z ur luv
3. Caz Tee - Nakuhitaji,
4. Don williams - Amanda
5. Celine - B'se u loved me
6. Kassim - Haiwezekani
7. Don Williams - I believe in you
8. Celine - When I need you
9. Nimekuchagua wewe - Balubi
10 Banana - Love story ... (Sogeaa nikushiiike mkoono, sogeaaa nikushiiike.....)

Nigongeeni 5 hapo.
 
unacheka nini?
umewahi pata dozi hadi ukatamani polisi waje usalimike?lol

Duh The Boss umeniacha bila mbavu.........nishawahi kuona uswahili kule Tanga kidume kilifanya mambo mtu akatoka na
Pichu mkononi kaishika.......te te te te.Gazeti la The Sun,tabloid,la UK liliandika wakati Brad Pit na Angelina wanaanzana,walienda Mexico vocation,kwenye chumba walichokuwa wamelala ilibidi wageni wengine watoke usiku kuuliza kama kuna ng'ombe anachinjwa kumbe Angelina anaulilia.......ha ha ha ha
 
1. Jaheim- Fabulous,
2. Whitney Houston-My luv z ur luv
3. Caz Tee - Nakuhitaji,
4. Don williams - Amanda
5. Celine - B'se u loved me
6. Kassim - Haiwezekani
7. Don Williams - I believe in you
8. Celine - When I need you
9. Nimekuchagua wewe - Balubi
10 Banana - Love story ... (Sogeaa nikushiiike mkoono, sogeaaa nikushiiike.....)

Nigongeeni 5 hapo.

Umegongewa tano Kawambwa The Prof,we mkareeeeeee.........ha ha ha .....what a piece of collection
 
Duh The Boss umeniacha bila mbavu.........nishawahi kuona uswahili kule Tanga kidume kilifanya mambo mtu akatoka na
Pichu mkononi kaishika.......te te te te.Gazeti la The Sun,tabloid,la UK liliandika wakati Brad Pit na Angelina wanaanzana,walienda Mexico vocation,kwenye chumba walichokuwa wamelala ilibidi wageni wengine watoke usiku kuuliza kama kuna ng'ombe anachinjwa kumbe Angelina anaulilia.......ha ha ha ha

namsubiri karucee au Elizabethdominic waseme
kama hawajawahi tuwafikirie kuwapa hii experience lol
 
ya boflo angeikataaje sasa? lol
alijua its safe still kwa dada yake

hii ya kwangu ndo lazima ilipwe lol

Mmmh dada Kaunga mie nafikiri tufanye kama kule India,kwamba sie ndio tuwaoe.........ha ha ha ......kwani mashamba ya tumbaku kule Ipole si bado tunavuna ya kutosha kuoa hata wanaume wanne.........ha ha ha ......halafu tunawachukua msukule watulimie tumbaku.........ha ha ha .....The Boss bado uko interested?.......ha ha ha
 
Back
Top Bottom